Interview tushafanya sana, issue placementSawa sisi ni jobless Ila hayo mamabo ya status tuachane nayo yatawatia pressure na mkajinyonga Bure.. mbona watu wanapangiwa tu vituo hata kutoka kanzidata na hzo status hazionekanai Kam zina impact yoyote..
Humu tunataka tips za Interview, placements, maswali ya oral and written ili watu tufike Oral.. mambo za kupangiwa kituo bahati pia inahusika.. so Punguzeni Ushamba basi..
Yaaah, bila shaka ni Re-AdvertKuna mkeka mpya CBE mmeuona?
Hahahaha halafu huku tunasumbuana na status kumbe mikeka inarudiwa.Yaaah, bila shaka ni Re-Advert
Re-advertise post 44 nahisi walitoa tangazo mda mrefu bila kuita usailiHahahaha halafu huku tunasumbuana na status kumbe mikeka inarudiwa.
Wapewe tu maana wakikumbwa na stress inakuwa worse zaidi ya stress za MeWanawake wanapewa sana nafasi aseeh katika oral nilizofanya wanawake wote huwa wanachukuliwa
Hawa wanaolewa kaka vipi sisi tutaolewa?!!!Wapewe tu maana wakikumbwa na stress inakuwa worse zaidi ya stress za Me
Stress za Me ni nzito ndugu yangu ufikie 30+ hakuna hata mishe inayoeleweka. Hiyo kitu men wanajikaza ila inatafuna akili sana. Mwanamke kama anatabia nzuri anaweza pata wa kumuoa we beberu ndio utajua hujui.Wapewe tu maana wakikumbwa na stress inakuwa worse zaidi ya stress za Me
Washaita usaili mzee muda watu walishafanyaRe-advertise post 44 nahisi walitoa tangazo mda mrefu bila kuita usaili
Hizo pst nying hazina watuRe-advertise post 44 nahisi walitoa tangazo mda mrefu bila kuita usaili
Hakuna kitu kinaniuma kama kuona kazi inakuwa re-advertized na jobless ni wengi sana.Hahahaha halafu huku tunasumbuana na status kumbe mikeka inarudiwa.
We acha tu kibaya zaidi ndio ilikua ni placement uliyokua ukiilia timing.Hakuna kitu kinaniuma kama kuona kazi inakuwa re-advertized na jobless ni wengi sana.
Hapa inabidi wafanye namna
Ttzo wanatoa nafsi nying kwa post ambazo watu weng hawana qualifications post zinabki wazi...ingekua ni TA wasingereadvtse post zote hizoHakuna kitu kinaniuma kama kuona kazi inakuwa re-advertized na jobless ni wengi sana.
Hapa inabidi wafanye namna
Inamaana wamefeli wote? SiaminiWashaita usaili mzee muda watu walishafanya
Wanachukulia rahisi sana, unakuta eti post inataka lecturers sita kabisa wa field flani. Sio rahisi kama wanavyodhani sema kwakua wameamua kufanya hivyo acha tuoneTtzo wanatoa nafsi nying kwa post ambazo watu weng hawana qualifications post zinabki wazi...ingekua ni TA wasingereadvtse post zote hizo
Kubania t vjna wasipate kaz kw nn wasiwaajr vijana wakasomeshwaWanachukulia rahisi sana, unakuta eti post inataka lecturers sita kabisa wa field flani. Sio rahisi kama wanavyodhani sema kwakua wameamua kufanya hivyo acha tuone
Kumtengeneza lecturer mmoja sio rahisi hivyo.Wanachukulia rahisi sana, unakuta eti post inataka lecturers sita kabisa wa field flani. Sio rahisi kama wanavyodhani sema kwakua wameamua kufanya hivyo acha tuone
Watu tumemaliza kitambo, GPA mzuri, lakini tupo tu kitaa tunauza nyanyaKubania t vjna wasipate kaz kw nn wasiwaajr vijana wakasomeshwa
Hii kitu inashangaza sana dah hawa jamaaKumtengeneza lecturer mmoja sio rahisi hivyo.
Mtu hawezi kusoma hadi PhD kama hana kazi. Eti Leo unakuja unatangaza unataka lecturers 10.