πππππUhakika mzee guide ile inaeleza vizuri tu
Pigeni simu psrs kuuliza!!!ππππKiongozi hizi nimezifatilia sana na wakati nilipokuwa nakosa nilikuwa naziona aseeh kwahiyo msije kudanganywa eti hazina maana ,zile Zina maana sema maana yake ndo hatujui ,zamani hizi status hazikuwaga zikiandika shortlisted for interview ,zilikuwaga zinaandika 1st interview
Labda ikirudi itaandika PLACEMENTStatus inapobadilikaga kutoka labda shortlisted kwenda oral huwa kwa muda fulani inakuwa plane pale kwahiyo hapo ikija kurudi inaweza kurudi vile au ikabadilika ikawa selected for oral[emoji23]
Soma kwa kutuliaa hapo utanielewa mkuuHuyu kaleta mpya status Kama hajawah kuapply!!!
Mstari wa mwisho umeelewa niniπππππUhakika mzee guide ile inaeleza vizuri tu
Haiandiki placement hata Mimi sijui inaandikaje lakini tujue tu ile status ina maana yake unaporun code yoyote kila unachoandika kinamaana yake na Lazima kitoe output kwahiyo zile status zinaandikwa kwenye sytem kuwa huyu akifaulu oral output itatokea selected for oralHiyo placement inaandikaje? Hamna aliyepata ajira akaandikiwa placement
Umesema kwenye status kweupe hakuna maandishi au?Soma kwa kutuliaa hapo utanielewa mkuu
ππππkiingereza kigumu mzeeMstari wa mwisho umeelewa nini
ππππPdf itatoka tu relaxPigeni simu psrs kuuliza!!!
Ila huwa zinachangamsha sanaπ€£πππππSasa kubalini tuendelee kuzidiscuss status au vipi?
La kwetu litakuja na vumbi toka May la wizara ya kilimoππππPdf itatoka tu relax
ππππWatakuja kutukana humu sasahiviIla huwa zinachangamsha sanaπ€£
Ikiandika hvyo nyanyua bahasha la vyeti nenda kituoni kwako kaanze kazi barua watakutumia hukohukoLabda ikirudi itaandika PLACEMENT
Utafuata barua bila kuitwa unaonesha status!!!!Labda ikirudi itaandika PLACEMENT
πππππHaiandiki hivyo mzeeIkiandika hvyo nyanyua bahasha la vyeti nenda kituoni kwako kaanze kazi barua watakutumia hukohuko
ππππHahhhh vijana wa hovyo sanaUtafuata barua bila kuitwa unaonesha status!!!!
Mnakohoa kwanza na chafya kwa wingiπ€£π€£La kwetu litakuja na vumbi toka May la wizara ya kilimo
π€£π€£π€£π€£ππππHahhhh vijana wa hovyo sana
πππππPdf linakuja na vumbi hahhhhMnakohoa kwanza na chafya kwa wingiπ€£π€£