Mwezi huu mwishoni au unaoanza mwanzoZile za mwez 9 hazifiki miez miwlil,ziko mwishoni kabisa soon zinaachiliwa..labda za NAOT na HELSB sawa
Kama wanafunzi walienda chuo na masomo wakaanza basi ni muda wowote watakaojisikiaMwezi huu mwishoni au unaoanza mwanzo
😂😂😂Kama wanafunzi walienda chuo na masomo wakaanza basi ni muda wowote watakaojisikia
Usikute huko vyuoni watu washaripoti tayariKama wanafunzi walienda chuo na masomo wakaanza basi ni muda wowote watakaojisikia
Bado mkuu,chuo Gani unasubiriUsikute huko vyuoni watu washaripoti tayari
Imewah kutoka pia alhamis mkuuSubira iendelee, Placements zinatokaga siku ya J4.
Tutege masikio J4 ijayo
Mfano ukiangalia kweny app labda haujawa shortlisted kweny post fulan haioneshi sababu za kutokuwa shortlisted,,Lkn kweny web ukiangalia ndani ya a/c yako inakuonosha sababu na Kila kitu tofaut na app 😀😀😀Zote zinahusika mzee ndo maana unaweza kutumia app au web
Hapa hatua ya mwisho inamaanisha Nini Sasa ??😂😂 Au ndio katiketi ka kuwa kweny kanzidata tu nn 😀Ndio Yani hii inakuwa na hatua tatu au nne inatoka selected for oral inakuja shortlisted inakuja selected for aral tena mwisho inarudi shortlisted hii ni hatua ya mwisho sasa
Hayo ni maono yao tu hakuna anaejua maana halisi ya hizo status...kikubwa ni kusbria pdf tHapa hatua ya mwisho inamaanisha Nini Sasa ??😂😂 Au ndio katiketi ka kuwa kweny kanzidata tu nn 😀
Hizi status maana yake ndo hatujui maana huwa wanabadili kulingana na muda kama zamani hazikuwaga hizi za shortlistedHapa hatua ya mwisho inamaanisha Nini Sasa ??😂😂 Au ndio katiketi ka kuwa kweny kanzidata tu nn 😀
Pdf za placement zikitoka za awamu hii ndiyo tutapata majibu kuhusu status tuwe wapole,itawasaidia na wanaofata pia kuondoa utataPIGENI SIMU PSRS KUONDOA UTATA
Yes wala tusiwe na hofu pdf zitatoka tu Mrejesho utapatikana ili wengine wanaokuja badae wawe wanajua kinachoendeleaPdf za placement zikitoka za awamu huu ndiyo tutapata majibu kuhusu status tuwe wapole,itawasaidia na wanaofata pia kuondoa utata
😂😂😂😂Hawapokeagi simu afu wanamajibu yakibabe sana walePIGENI SIMU PSRS KUONDOA UTATA
Hizo ni siku za dharura kama juzi J3Imewah kutoka pia alhamis mkuu
Kitambo sana(26/10/2022) na washa re-advertise nafasi zilizokosa watuHivi muhas washaita watu kazini?
Jamaa wababe kinoma 🤣🤣😂😂😂😂Hawapokeagi simu afu wanamajibu yakibabe sana wale
Duh kumbe waliwavutia waya sioKitambo sana(26/10/2022) na washa re-advertise nafasi zilizokosa watu