Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ndio Yani hii inakuwa na hatua tatu au nne inatoka selected for oral inakuja shortlisted inakuja selected for aral tena mwisho inarudi shortlisted hii ni hatua ya mwisho sasa
Hapa hatua ya mwisho inamaanisha Nini Sasa ??😂😂 Au ndio katiketi ka kuwa kweny kanzidata tu nn 😀
 
Back
Top Bottom