Genuine raf
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 673
- 1,804
Kweli huu mwezi unaisha kwa placementsMie nishawaambia placement mtazikimbia mwezi huu hizo zote mnazoona zilikua kwenye pdf Moja imeshiba naona wanazigawa gawa Sema watu wa database wanakula shavu sana kipindi hiki Sasa kama ulifanya interview ukapotezea ukauza na Smart phone ukaenda kufanya kilimo na ufungaji kijijini aisee JINA lipo now kwenye pdf na hujui masikini dah unashangaa unapigiwa simu na posta Kuna barua Yako hapa Toka utumishi unabaki unalia tu Kwa furaha na jembe mkononi asali imekufata shambani Maisha haya
Aisee mungu ajalie tuwepo ktk hilo ppdf🤲🤲Mie nishawaambia placement mtazikimbia mwezi huu hizo zote mnazoona zilikua kwenye pdf Moja imeshiba naona wanazigawa gawa Sema watu wa database wanakula shavu sana kipindi hiki Sasa kama ulifanya interview ukapotezea ukauza na Smart phone ukaenda kufanya kilimo na ufungaji kijijini aisee JINA lipo now kwenye pdf na hujui masikini dah unashangaa unapigiwa simu na posta Kuna barua Yako hapa Toka utumishi unabaki unalia tu Kwa furaha na jembe mkononi asali imekufata shambani Maisha haya
AmeenAisee mungu ajalie tuwepo ktk hilo ppdf🤲🤲
Tuwe na imaniAisee mungu ajalie tuwepo ktk hilo ppdf🤲🤲
😂😂😂😂😂Mie nishawaambia placement mtazikimbia mwezi huu hizo zote mnazoona zilikua kwenye pdf Moja imeshiba naona wanazigawa gawa Sema watu wa database wanakula shavu sana kipindi hiki Sasa kama ulifanya interview ukapotezea ukauza na Smart phone ukaenda kufanya kilimo na ufungaji kijijini aisee JINA lipo now kwenye pdf na hujui masikini dah unashangaa unapigiwa simu na posta Kuna barua Yako hapa Toka utumishi unabaki unalia tu Kwa furaha na jembe mkononi asali imekufata shambani Maisha haya
Pdf hilo litakuwa placement au Tangazo la kazi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sekretarieti wamesema Kuna pdf lakufungia mwaka aseeh hilo linatoka wiki ijayo
Placement wamesemaPdf hilo litakuwa placement au Tangazo la kazi?
Kazi ikija ya bachelor Fulani unaiedit pale iendae na ile nyingine then unaapply tu mzee hata kama una degree mbili tofautiWakuu Hivi mtu ukiwa na degree mbili yaani bachelor degree ya accounting, bachelor degree ya business administration pamoja na cheti Cha udereva kutoka VETA. Hapo unajazaje infor zako za ajira portal, maana hapo Kuna kazi za aina tatu ambazo zote unaweza kuzifanya. Mfumo wa ajira portal Unaruhusu kweli?
Hv mmesahau mkeka wa wizara ya kilimo..?Litakuwa pdf la MDAs &LGAs na TRA nazani ndio mikeka mikubwa ya betting😀😀
Tena kuna Watu wa ASA kutoka wizara ya kilimo nao wanasubiriHv mmesahau mkeka wa wizara ya kilimo..?
WafanyaNimechek alfajir hii labda kuna pdf jipya but wapi ngoja tuendelee kufanya maombi huku tukisubir pdf la siku ya leo.
Watu wanapata post mbilimbili wengine hata moja hatupati!!Zote mbili nimeona kwa mdau wangu mmoja alipangiwa zote 2, akachagua yenye mrija mtamu zaidi[emoji3]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kumbe usipofata barua kwa wakati unapigiwa simu kuifata.unashangaa unapigiwa simu na posta Kuna barua Yako hapa Toka utumishi
😂😂😂😂Maisha hayapo fair mzeeWafanya
Watu wanapata post mbilimbili wengine hata moja hatupati!!
Kama sina box huko posta je[emoji15]Mie nishawaambia placement mtazikimbia mwezi huu hizo zote mnazoona zilikua kwenye pdf Moja imeshiba naona wanazigawa gawa Sema watu wa database wanakula shavu sana kipindi hiki Sasa kama ulifanya interview ukapotezea ukauza na Smart phone ukaenda kufanya kilimo na ufungaji kijijini aisee JINA lipo now kwenye pdf na hujui masikini dah unashangaa unapigiwa simu na posta Kuna barua Yako hapa Toka utumishi unabaki unalia tu Kwa furaha na jembe mkononi asali imekufata shambani Maisha haya
Ngoja tulisubiriKuna mdau Instagram anawauliza utumishi Kama Kuna mkeka wa new vacancies wa kufungia mwaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2420114
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaogopa mtaanza kuwakopa nauli za Kwenda Dom ,mwenyew namsubir Meck pro nimkope mshahara wake wa kwanza maana jamaa ameshaunganishwa kwenye grid ya asali ya Taifa
Mwaka jana mwezi wa kumi walitoa tukaaply ila mpaka Leo Iko received tu... Sjui shida ni nnHivi TANESCO ndio kwamba hamna uhaba wa wahandisi na watumishi wengine au sio ? , Maana kimya muda mrefu sana .
Hivi Tanzania Geothermal development company (TGDC) subsidiary ya TANESCO wameshatoa selection Kwa ajili ya interview ?
Insta inapendwa sana, sijui kwanini. Ofisi nyingi zinapage huko kuliko kwenye mitandao mingineOperater wa insta page ya psrs anajitahidi kujibu wadau