Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Kijana kua na imani na serikali yako... subiri zoezi la sensa lishe kwanza.... tutakuitenisasa sensa inahusiana vipi hapoo so tukae kimya mpk September.
sasa utumishii c inalimbikizaa Mambo maana sijuiii itakuwajeeeee
Siyo kuita tuu makazini ,hata kuwafanyia usahili tuu ,uchukua muda mrefu .Wanakera...Wanajamvi nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nn kinacho endeleea.
kuna nafasi zimesha tizimiza siku 60 leo. bila ya kuitwa kufanya usahili hii sekta inahitaji nayo iajiri wafanyakaz kam 50+ maana ishashindwaa kuchakata Data kwa harakaSiyo kuita tuu makazini ,hata kuwafanyia usahili tuu ,uchukua muda mrefu .Wanakera...
Hilo nalo ni jambo la msingi mno ninavyojua kwenye writen ingekuwa inachukua mda sababu kusahisha mitihani na number ya watu kuwa kubwa ila ndiyo inatumia muda mchace mno kuliko oral yenye watu wachache na ana kwa anakuna nafasi zimesha tizimiza siku 60 leo. bila ya kuitwa kufanya usahili hii sekta inahitaji nayo iajiri wafanyakaz kam 50+ maana ishashindwaa kuchakata Data kwa haraka
August 1, mkeka mrefu unamwagikaa una Mb kma 10+Hilo nalo ni jambo la msingi mno ninavyojua kwenye writen ingekuwa inachukua mda sababu kusahisha mitihani na number ya watu kuwa kubwa ila ndiyo inatumia muda mchace mno kuliko oral yenye watu wachache na ana kwa ana
Mkuu lala bhana kwani huna pisi Kali hapo kwa bed wa kuipatia kimoja Cha Asubuhi..?😁😁😁 Maana unawatia ulofa tu wenzioAugust 1, mkeka mrefu unamwagikaa una Mb kma 10+
picha linaanza matokeo yametoka kwa waliofaulu tu.Hii ajira ya Must ni yakimchongo. Kam vile hawashirikiani na UTUMISHI.
Kaz zimetangazaa June leo watu wanaitwa kazini.
wakat wengune Kaz zetu za April za Utumishi mpk leo hatuoni Update yeyote
[emoji2][emoji2]
Duuuhpicha linaanza matokeo yametoka kwa waliofaulu tu.
walikuwa sita.
matokeo hayakupostiwa kwa website ya utumishi kama ilivyo ada.
Hii ajira kwa asilimia kubwa ilikuwa ni ya kimchongo.
Mwamba kichwa chako kimejaa uzinzi [emoji23][emoji2][emoji23].Mkuu lala bhana kwani huna pisi Kali hapo kwa bed wa kuipatia kimoja Cha Asubuhi..?[emoji16][emoji16][emoji16] Maana unawatia ulofa tu wenzio
Duuuh Utumishi wangelijua jinsi wanavyotesa vijana wa watu Huku, Mungu asaidieMwamba kichwa chako kimejaa uzinzi [emoji23][emoji2][emoji23].
mimi niache niteseke na UTUMISHI.. hawa wanawakwe wapo na daily wanazaliwa wapya
Watu wanaanza kuhesabu sikuBaada ya dhiki ni faraja, acha tupambane
Mkeka wetu upo tiari na hii ndio week yenyeweee..Watu wanaanza kuhesabu siku
Mie nasubr wa veta kudadeki zao na nikikosa sijui itakuajeMkeka wetu upo tiari na hii ndio week yenyeweee..
nimeandaa nauli kabisa ya kwenda Dodoma utumishi kufuata barua ysngu ya kuripoti kazini [emoji2][emoji23][emoji23]
Kam sija appear kweny PDFnaenda kuweka bili maziwa ili nipunguzeee stress.
Ivi maziwa yana punguza stres
Mkeka mkubwa tuhesabu siku tuMkeka wetu upo tiari na hii ndio week yenyeweee..
nimeandaa nauli kabisa ya kwenda Dodoma utumishi kufuata barua ysngu ya kuripoti kazini [emoji2][emoji23][emoji23]
Kam sija appear kweny PDFnaenda kuweka bili maziwa ili nipunguzeee stress.
Mara nyingi bandiko huwa kuanzia saa kumi na mbili jionimimi huwaga nachungulia asubuh nikiamka tu.
sina muda wakuchunguliiia kila muda.. stak pressure za mchana. bora za asubuhi.