Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

sasa sensa inahusiana vipi hapoo so tukae kimya mpk September.
sasa utumishii c inalimbikizaa Mambo maana sijuiii itakuwajeeeee
Kijana kua na imani na serikali yako... subiri zoezi la sensa lishe kwanza.... tutakuiteni
 
Wanajamvi nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nn kinacho endeleea.
Siyo kuita tuu makazini ,hata kuwafanyia usahili tuu ,uchukua muda mrefu .Wanakera...
 
kuna nafasi zimesha tizimiza siku 60 leo. bila ya kuitwa kufanya usahili hii sekta inahitaji nayo iajiri wafanyakaz kam 50+ maana ishashindwaa kuchakata Data kwa haraka
Hilo nalo ni jambo la msingi mno ninavyojua kwenye writen ingekuwa inachukua mda sababu kusahisha mitihani na number ya watu kuwa kubwa ila ndiyo inatumia muda mchace mno kuliko oral yenye watu wachache na ana kwa ana
 
Hii ajira ya Must ni yakimchongo. Kam vile hawashirikiani na UTUMISHI.
Kaz zimetangazaa June leo watu wanaitwa kazini.
wakat wengune Kaz zetu za April za Utumishi mpk leo hatuoni Update yeyote
[emoji2][emoji2]
picha linaanza matokeo yametoka kwa waliofaulu tu.
walikuwa sita.
matokeo hayakupostiwa kwa website ya utumishi kama ilivyo ada.
Hii ajira kwa asilimia kubwa ilikuwa ni ya kimchongo.
 
Mkeka wetu upo tiari na hii ndio week yenyeweee..
nimeandaa nauli kabisa ya kwenda Dodoma utumishi kufuata barua ysngu ya kuripoti kazini [emoji2][emoji23][emoji23]
Kam sija appear kweny PDFnaenda kuweka bili maziwa ili nipunguzeee stress.
Mie nasubr wa veta kudadeki zao na nikikosa sijui itakuaje
 
Back
Top Bottom