Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kweli mkuu.

NAOT nilikuwa naenda kutimiza ratiba, kumbe ndio ilikuwa njia ya kunifikisha kwa Asha Rose Migiro
 
Hivi ni lazima PDF itoke moja kwa siku. Si wangeweka hata PDF 7 kwa siku za placements. Mbona kwenye advertisement na interview inawezekana
Nafikiri labda kuna pesa kwenye kuziweka hizo pdf kwahiyo wakiweka zote siku moja hela watapataje?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nimewaza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…