Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ile ya Cive nilikandwa aseeh lakini nilikuwaga nimesoma mpka nikawa najiuliza Hawa utumishi watachomokea wapi yani lakini nikakandwa kwakukosa marks mbili nikaja Duce ambayo sikuwa nimeizingatia sana aseeh nilipitaga nayo kwa kupata marks za juu kabisa ,kwahiyo nilichojifunga unapopanga Jambo ,Mungu nae ana njia zake zakukuonesha utukufu wake.
Tusisahau kusali wakuu
Kweli mkuu.

NAOT nilikuwa naenda kutimiza ratiba, kumbe ndio ilikuwa njia ya kunifikisha kwa Asha Rose Migiro
 
Watakuwa wana uhitaji sana, wameamua watangaze wao na maombi yaelekezwe kwao.

Mlio nasifa jaribuni bahati yenu
IMG-20221118-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom