Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kweli mkuu.Ile ya Cive nilikandwa aseeh lakini nilikuwaga nimesoma mpka nikawa najiuliza Hawa utumishi watachomokea wapi yani lakini nikakandwa kwakukosa marks mbili nikaja Duce ambayo sikuwa nimeizingatia sana aseeh nilipitaga nayo kwa kupata marks za juu kabisa ,kwahiyo nilichojifunga unapopanga Jambo ,Mungu nae ana njia zake zakukuonesha utukufu wake.
Tusisahau kusali wakuu
NAOT nilikuwa naenda kutimiza ratiba, kumbe ndio ilikuwa njia ya kunifikisha kwa Asha Rose Migiro