makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,392
Wish kila kitu kitakuwa sawa tu flash imeonekana πππTupoooooooo''niliwasikia jana majobless wenzangu waccM wakiitikia baada ya kuulizwa na mwenyekiti wao
Ngoja tusubiri mech ya England na Iran iishe labda tutakuta mkekaWish kila kitu kitakuwa sawa tu flash imeonekana [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwezi wa 6Hv mwaka wakserikali unaishiaga mwezi gani?
πππππHahhhh kwamba wazee wa shortlisted wazee wakukaa data base aseeh Mungu aoneshe njia ninunue SubaruWiki hii placement kibao December hamna ishu, nijuavyo mimi huwa taasisi inaandaa report ya mwaka hivyo vibali vikuu vyote ambavyo vipo mezani kwao inabidi visogezwe kwa wajiri na nafasi zote zilizokuwa na changamoto mbali mbali za wajiriwa wapya kutoka placement mama mfano (vyeti,huma taasisi nk) inabidi psrs wazijaze kutoka kwe Data zao kulingana na sifa za nafasi husika. Shortlisted mpoooo πππ zile zilizokosa kabisa watu Re-advertiseing imefanyika
ππππFlash alipoteza Riverside paleWish kila kitu kitakuwa sawa tu flash imeonekana πππ
Time yao hii Shortlisted time yoa chance kibao ππππππHahhhh kwamba wazee wa shortlisted wazee wakukaa data base aseeh Mungu aoneshe njia ninunue Subaru
ππππUhakika mwaka huu lazima watuite tuTime yao hii Shortlisted time yoa chance kibao π
Jopo la jobless kupitia mwenyekiti wake napenda kuwapa pongezi kwa kushirikiana vizuri na psrs katika kufanikisha upatikanaji wa flash ileππππFlash alipoteza Riverside pale
ππππHahhhh flash lazima itafutwe kwa nguvu zoteJopo la jobless kupitia mwenyekiti wake napenda kuwapa pongezi kwa kushirikiana vizuri na psrs katika kufanikisha upatikanaji wa flash ile
[emoji16][emoji16]Jopo la jobless kupitia mwenyekiti wake napenda kuwapa pongezi kwa kushirikiana vizuri na psrs katika kufanikisha upatikanaji wa flash ile
Mmhπ€Wiki hii placement kibao December hamna ishu, nijuavyo mimi huwa taasisi inaandaa report ya mwaka hivyo vibali vikuu vyote ambavyo vipo mezani kwao inabidi visogezwe kwa wajiri na nafasi zote zilizokuwa na changamoto mbali mbali za wajiriwa wapya kutoka placement mama mfano (vyeti,huma taasisi nk) inabidi psrs wazijaze kutoka kwe Data zao kulingana na sifa za nafasi husika. Shortlisted mpoooo πππ zile zilizokosa kabisa watu Re-advertiseing imefanyika
πππππKaka wewe ni not selected hebu tulia hahhhMmhπ€
π€£π€£π€£πππππKaka wewe ni not selected hebu tulia hahhh
πππππNgoja nivuruge watu na status sasaπ€£π€£π€£
ππππHahhhhh data base iheshimiwe aseeeh
Kuna kiji taasisi kipo vizuri mno kulikuwa na kibali cha ajira japo nafasi zao hazizidi kumi psrs hawaja publish walipo uliza wakambiwa aina ya watu hao wanao kanzi data wenye sifa kuendana na zao hongereni PSRS,,, Ndipo nilipo jitoa kutafuta flash kwa nguvu mno ππ kwahiyo kanzi data iseme TANGAZO HILI LINAJUMUISHA WATU WALIYOKUWEPO KATIKA KANZI DATA
Kbsa wengine ndo tunatgmea tutokee huko maana hali sio nzuri kbsa π€£π€£ππππHahhhhh data base iheshimiwe aseeeh
,π€£π€£ Zimepatikaje hzo nafasi ..Time yao hii Shortlisted time yoa chance kibao π
Inasikitisha sanaπ¬π¬π¬π¬Katika vitu vyenye tension kubwa ktk nchii hii ni ajira...ukipat ajira serkalini nchi hii shukuru mungu wako sana...tunakaa miezi 3 kinakuja kutoka kitangzo cha watu ata 30 hawafiki duh safr bado ndefu sna tuzidi kuomba mungu tufikie kwenye mrija wa asali