Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wiki hii placement kibao December hamna ishu, nijuavyo mimi huwa taasisi inaandaa report ya mwaka hivyo vibali vikuu vyote ambavyo vipo mezani kwao inabidi visogezwe kwa wajiri na nafasi zote zilizokuwa na changamoto mbali mbali za wajiriwa wapya kutoka placement mama mfano (vyeti,huma taasisi nk) inabidi psrs wazijaze kutoka kwe Data zao kulingana na sifa za nafasi husika. Shortlisted mpoooo 😂😂😂 zile zilizokosa kabisa watu Re-advertiseing imefanyika
😂😂😂😂😂Hahhhh kwamba wazee wa shortlisted wazee wakukaa data base aseeh Mungu aoneshe njia ninunue Subaru
 
Wiki hii placement kibao December hamna ishu, nijuavyo mimi huwa taasisi inaandaa report ya mwaka hivyo vibali vikuu vyote ambavyo vipo mezani kwao inabidi visogezwe kwa wajiri na nafasi zote zilizokuwa na changamoto mbali mbali za wajiriwa wapya kutoka placement mama mfano (vyeti,huma taasisi nk) inabidi psrs wazijaze kutoka kwe Data zao kulingana na sifa za nafasi husika. Shortlisted mpoooo 😂😂😂 zile zilizokosa kabisa watu Re-advertiseing imefanyika
Mmh🤔
 
Kuna kiji taasisi kipo vizuri mno kulikuwa na kibali cha ajira japo nafasi zao hazizidi kumi psrs hawaja publish walipo uliza wakambiwa aina ya watu hao wanao kanzi data wenye sifa kuendana na zao hongereni PSRS,,, Ndipo nilipo jitoa kutafuta flash kwa nguvu mno 😂😂 kwahiyo kanzi data iseme TANGAZO HILI LINAJUMUISHA WATU WALIYOKUWEPO KATIKA KANZI DATA
 
Katika vitu vyenye tension kubwa ktk nchii hii ni ajira...ukipat ajira serkalini nchi hii shukuru mungu wako sana...tunakaa miezi 3 kinakuja kutoka kitangzo cha watu ata 30 hawafiki duh safr bado ndefu sna tuzidi kuomba mungu tufikie kwenye mrija wa asali
 
😂😂😂😂Hahhhhh data base iheshimiwe aseeeh
 
Katika vitu vyenye tension kubwa ktk nchii hii ni ajira...ukipat ajira serkalini nchi hii shukuru mungu wako sana...tunakaa miezi 3 kinakuja kutoka kitangzo cha watu ata 30 hawafiki duh safr bado ndefu sna tuzidi kuomba mungu tufikie kwenye mrija wa asali
Inasikitisha sana😬😬😬😬
 
Back
Top Bottom