makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,392
Wish kila kitu kitakuwa sawa tu flash imeonekana 😂😂😂Tupoooooooo''niliwasikia jana majobless wenzangu waccM wakiitikia baada ya kuulizwa na mwenyekiti wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wish kila kitu kitakuwa sawa tu flash imeonekana 😂😂😂Tupoooooooo''niliwasikia jana majobless wenzangu waccM wakiitikia baada ya kuulizwa na mwenyekiti wao
Ngoja tusubiri mech ya England na Iran iishe labda tutakuta mkekaWish kila kitu kitakuwa sawa tu flash imeonekana [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwezi wa 6Hv mwaka wakserikali unaishiaga mwezi gani?
😂😂😂😂😂Hahhhh kwamba wazee wa shortlisted wazee wakukaa data base aseeh Mungu aoneshe njia ninunue SubaruWiki hii placement kibao December hamna ishu, nijuavyo mimi huwa taasisi inaandaa report ya mwaka hivyo vibali vikuu vyote ambavyo vipo mezani kwao inabidi visogezwe kwa wajiri na nafasi zote zilizokuwa na changamoto mbali mbali za wajiriwa wapya kutoka placement mama mfano (vyeti,huma taasisi nk) inabidi psrs wazijaze kutoka kwe Data zao kulingana na sifa za nafasi husika. Shortlisted mpoooo 😂😂😂 zile zilizokosa kabisa watu Re-advertiseing imefanyika
😂😂😂😂Flash alipoteza Riverside paleWish kila kitu kitakuwa sawa tu flash imeonekana 😂😂😂
Time yao hii Shortlisted time yoa chance kibao 😂😂😂😂😂😂Hahhhh kwamba wazee wa shortlisted wazee wakukaa data base aseeh Mungu aoneshe njia ninunue Subaru
😂😂😂😂Uhakika mwaka huu lazima watuite tuTime yao hii Shortlisted time yoa chance kibao 😂
Jopo la jobless kupitia mwenyekiti wake napenda kuwapa pongezi kwa kushirikiana vizuri na psrs katika kufanikisha upatikanaji wa flash ile😂😂😂😂Flash alipoteza Riverside pale
😂😂😂😂Hahhhh flash lazima itafutwe kwa nguvu zoteJopo la jobless kupitia mwenyekiti wake napenda kuwapa pongezi kwa kushirikiana vizuri na psrs katika kufanikisha upatikanaji wa flash ile
[emoji16][emoji16]Jopo la jobless kupitia mwenyekiti wake napenda kuwapa pongezi kwa kushirikiana vizuri na psrs katika kufanikisha upatikanaji wa flash ile
Mmh🤔Wiki hii placement kibao December hamna ishu, nijuavyo mimi huwa taasisi inaandaa report ya mwaka hivyo vibali vikuu vyote ambavyo vipo mezani kwao inabidi visogezwe kwa wajiri na nafasi zote zilizokuwa na changamoto mbali mbali za wajiriwa wapya kutoka placement mama mfano (vyeti,huma taasisi nk) inabidi psrs wazijaze kutoka kwe Data zao kulingana na sifa za nafasi husika. Shortlisted mpoooo 😂😂😂 zile zilizokosa kabisa watu Re-advertiseing imefanyika
😂😂😂😂😂Kaka wewe ni not selected hebu tulia hahhhMmh🤔
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂Kaka wewe ni not selected hebu tulia hahhh
😂😂😂😂😂Ngoja nivuruge watu na status sasa🤣🤣🤣
😂😂😂😂Hahhhhh data base iheshimiwe aseeeh
Kuna kiji taasisi kipo vizuri mno kulikuwa na kibali cha ajira japo nafasi zao hazizidi kumi psrs hawaja publish walipo uliza wakambiwa aina ya watu hao wanao kanzi data wenye sifa kuendana na zao hongereni PSRS,,, Ndipo nilipo jitoa kutafuta flash kwa nguvu mno 😂😂 kwahiyo kanzi data iseme TANGAZO HILI LINAJUMUISHA WATU WALIYOKUWEPO KATIKA KANZI DATA
Kbsa wengine ndo tunatgmea tutokee huko maana hali sio nzuri kbsa 🤣🤣😂😂😂😂Hahhhhh data base iheshimiwe aseeeh
,🤣🤣 Zimepatikaje hzo nafasi ..Time yao hii Shortlisted time yoa chance kibao 😂
Inasikitisha sana😬😬😬😬Katika vitu vyenye tension kubwa ktk nchii hii ni ajira...ukipat ajira serkalini nchi hii shukuru mungu wako sana...tunakaa miezi 3 kinakuja kutoka kitangzo cha watu ata 30 hawafiki duh safr bado ndefu sna tuzidi kuomba mungu tufikie kwenye mrija wa asali