Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Vipi kwa baba napo?
Usimpe mtu biashara kwakua tu ni mtu wako wa karibu au unampenda sana.maana atakuja kukudisapoint ukamchukia.biashara haina undugu kabisa ndio Ile wanaita separate legal entity hyo ni principle Moja ya biashara.sio muandishi mzuri sana ila I wish ningeweza kudesplay vizuri nnachotaka kusema ukielewe.otherwise kama unampa ndugu umeamua kumbless ni ya kwake ikikua haya ikifa sawa......kuhusu kumpatia mke hiyo ni case tofauti kabisa ila Kuna wanawake Wana akili sana na Wana vichwa vya biashara ukibahatika kumpatia huyo na ukamgundua ana akili na trustworthy wanatufikisha mbali mnoo maana nae anajua anaepambania future ya watoto wake.
 
Sawa hapa. Ila Sasa mtaalam hapa Kwa akili ya kijasiliamali inabidi umpige mimba kwanza mke🤣🤣🤣 ili ajue kabisa hapa napambania maisha yetu na mtoto naona ukimwacha hivi hivi atakula mtaji au akapata kajamaaa akahonga Bure nikafa na stress 🤣🤣🤣
 
Hapa hazungumziwi ambae sio mke broo🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…