Hahahaa, ona na mimi hapa walivyoniambia. Wameniita shortlist 3, nafasi ni hiyo hiyo moja ingawa waajiri ni tofauti kwa nyaraka zile zile ila hapa wanasema hivi.Wameniwekea saiv sababu wandai sijaweka passport wakat ipo siku zote na baaz ya interview nimeitwa
Mimi iko received tu hata sijui shida ni niniWameniwekea saiv sababu wandai sijaweka passport wakat ipo siku zote na baaz ya interview nimeitwa
Hahahaa, ona na mimi hapa walivyoniambia. Wameniita shortlist 3, nafasi ni hiyo hiyo moja ingawa waajiri ni tofauti kwa nyaraka zile zile ila hapa wanasema hivi.
Pia kwenye Portal hamna sehemu ya kuattach hicho kitu.
Any way, hawa wamenichoka ingawa kutoboa kwenda oral bado ni giza neneView attachment 2351106
Mimi iko received tu hata sijui shida ni nini
Mkuu namba zao unazo ? Kama unazo tuma pleaseDuh! Mkuu, hebu wasiliana nao, wanaweza kuibadilisha.
Nilikuambia mkuu Kuna cheti huja attach Nina uhakika ikirudi kwenye tangazo la kazi utakuta wamekuambia hicho cheti kinatakiwaHahahaa, ona na mimi hapa walivyoniambia. Wameniita shortlist 3, nafasi ni hiyo hiyo moja ingawa waajiri ni tofauti kwa nyaraka zile zile ila hapa wanasema hivi.
Pia kwenye Portal hamna sehemu ya kuattach hicho kitu.
Any way, hawa wamenichoka ingawa kutoboa kwenda oral bado ni giza neneView attachment 2351106
Niko busy na kesho ndugu yangu, labda nikawaambie maofisi nitakaowakuta kule DUCE kesho.Duh! Mkuu, hebu wasiliana nao, wanaweza kuibadilisha.
Ndio, mimi wameniwekea siku nyingi tangu walipotangazaHivi walioitwa usaili Duce namba wameweka tayari?
Kwenye portal kuna sehemu ya kuattach registration Certificate, ila hamna sehemu ya kuattach Licence certificate.Nilikuambia mkuu Kuna cheti huja attach Nina uhakika ikirudi kwenye tangazo la kazi utakuta wamekuambia hicho cheti kinatakiwa
Kama alikosea au kama hakuwa na vigezo kwanini aandikiwe received???Okay sasa nimeelewa, basi itakuwa amekosa, hata zikijazwa hatoitwa, kuna kigezo itakuwa hajakizi mf. Kusaini barua, kukosea address n.k
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Haiwezekani iwe mwakani, sababu utakuwa unaendelea tu kufanya kila interview bila kujua hatma yako!??Sasa sii ni mwakani hiyo mkuu
Ila wameiweka sana pdf ya placement duuhHaiwezekani iwe mwakani, sababu utakuwa unaendelea tu kufanya kila interview bila kujua hatma yako!??
Kuna kitu hajikaa sawa serikalini ndo mana hawajaweka placement ya kada yeyote, cha msingi tuwape muda mm naamini mwezi huu wanatoa.Ila wameiweka sana pdf ya placement duuh
Hapo siweji jua wap pa kuweka kwa kweli ila mie Kama Kuna kitu ninacho huwa nakitupia huko training and workshop watajua wenyewe ila kama vipi wacheki maybe watakua na maelekezo ya maanaKwenye portal kuna sehemu ya kuattach registration Certificate, ila hamna sehemu ya kuattach Licence certificate.
Kwa hiyo hapa ilitakiwa niziunganishe kwenye PDF moja halafu niattach kwenye sehemu ya Registration Certificate?
Na iwe hivyo kiongozi maana unaeeza kuta tunaendeleza mapambano kumbe kwe placements upo huku ukiziba ridhiki kwa wengine au unaweza kusema kwe placements upo kumbe haupo ukadharau saili nyingineKuna kitu hajikaa sawa serikalini ndo mana hawajaweka placement ya kada yeyote, cha msingi tuwape muda mm naamini mwezi huu wanatoa.
wanavyodai mchakato wa kupata watu kwa upande wa utumishi ni chap ila changamoto inakuja kwa waajiri ndio wanaocheleweshaNa iwe hivyo kiongozi maana unaeeza kuta tunaendeleza mapambano kumbe kwe placements upo huku ukiziba ridhiki kwa wengine au unaweza kusema kwe placements upo kumbe haupo ukadharau saili nyingine
Waajiri nao utasikia hao utumishi jukumu lao wao! Wao Wajiri wameomba kibali na wamepewa mchakato upo kwaowanavyodai mchakato wa kupata watu kwa upande wa utumishi ni chap ila changamoto inakuja kwa waajiri ndio wanaochelewesha
waajiri ni jukumu lao kuandaa mazingira ya waajiriwaWaajiri nao utasikia hao utumishi jukumu lao wao! Wao Wajiri wameomba kibali na wamepewa mchakato upo kwao
🤔