[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eeeh! Haya sasa ndiyo ya kuja tuyazungumze kwa kina pembeni huku Pm na tuangalie nini tuwafanye Hawa utumishi.
Mapema tuu...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Placement zinatoka kama Selected for oral kuviziana mwanzo mwishoKumbe mzigo umeshushwa usiku mnene
Umepata?Jamani Sijui niseme nini. Mungu mkubwa jamaniiiiiii
Aisee Kwanza namshukuru Mungu kwa yote.
Status baada ya kufaulu written ikaandika selected for oral. Kisha baada ya oral kama wiki Moja hivi ikabadilika na kuwa Shortlisted ambayo ina sehemu ya kuview timetable bila interview number, then ikabadilika na kuwa selected for oral tena.
Baada ya muda ikaja ile shortlisted ambayo haina chochote, yaani haina interview number wala sehemu ya kuview timetable. Hii ilikaa sana mpaka juzi hapa ambapo ilibadilika na kuwa selected for oral. Jana usiku nimeona placement na mimi nimo na status inasoma selected for oral.
Finally you made it, hongera sana mkuu, umepambana sana kuwauliza PSRS hadi wakafungua ID humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Thank you my Lord,
Thank you Allah
Thank youuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Bila shaka upo any time huko, nikipata chance nitazungukia.
Ila tukikutana bila kujuana isipokuwa kwa kuhisiana tu kama siku ile ya mkando, si itakuwa poa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], maana wazee wa utelezi akina wizy najua watanivamia niwape koneksheni ya kumnasa mnyumbuaji wa PGO[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mapema tuu...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Placement zinatoka kama Selected for oral kuviziana mwanzo mwisho
Mapema tuu...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Placement zinatoka kama Selected for oral kuviziana mwanzo mwisho
Hongera mkuu, vipi kwa app?? maana najua hzi status ulikua unazifuatilia sana.Aisee Kwanza namshukuru Mungu kwa yote.
Status baada ya kufaulu written ikaandika selected for oral. Kisha baada ya oral kama wiki Moja hivi ikabadilika na kuwa Shortlisted ambayo ina sehemu ya kuview timetable bila interview number, then ikabadilika na kuwa selected for oral tena.
Baada ya muda ikaja ile shortlisted ambayo haina chochote, yaani haina interview number wala sehemu ya kuview timetable. Hii ilikaa sana mpaka juzi hapa ambapo ilibadilika na kuwa selected for oral. Jana usiku nimeona placement na mimi nimo na status inasoma selected for oral.
You deserve it bro, Congratulation!ππππΏπͺπ½Thank you my Lord,
Thank you Allah
Thank youuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Sawa, tunawajuza yaani hapa nna hekaheka ya kujianda kwenda domSS bro embu tupe darasa kwenye oral yako ulivyoifanya kuanzia kuandaa topic ,ulivyoipresent hadi Q &A ilikuwaje..maana itatusaidia wasakatonge wa mrija wa asali humu Ahmet
hakika tulisubiri sanaHongera sana Mkuu, naona ile βsoonβ ya Utumishi imekuwa kweli.
Asante mwifaUmepata?
Hongera sana
Wizy alisema napambana utadhani napigania Uhuru wa nchiππFinally you made it, hongera sana mkuu, umepambana sana kuwauliza PSRS hadi wakafungua ID humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ushakata tiketi mkuuu ya Asha rose migiloππππWizy alisema napambana utadhani napigania Uhuru wa nchiππ
Najuaa una hekaheka lkn ,kutusaidia experience yako itatusaidia sana majobless siku za usoniSawa, tunawajuza yaani hapa nna hekaheka ya kujianda kwenda dom