Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Aisee Kwanza namshukuru Mungu kwa yote.

Status baada ya kufaulu written ikaandika selected for oral. Kisha baada ya oral kama wiki Moja hivi ikabadilika na kuwa Shortlisted ambayo ina sehemu ya kuview timetable bila interview number, then ikabadilika na kuwa selected for oral tena.

Baada ya muda ikaja ile shortlisted ambayo haina chochote, yaani haina interview number wala sehemu ya kuview timetable. Hii ilikaa sana mpaka juzi hapa ambapo ilibadilika na kuwa selected for oral. Jana usiku nimeona placement na mimi nimo na status inasoma selected for oral.

Hahaha! Humu tulihitimisha kuhusu suala la status kwamba mchawi wa mwisho ni kupigiwa simu au pdf, lakini bado watu wakaamua waendelee kuvutana.

Nadhani ile mivutano ya status lengo lake hasa lilikuwa kuchangamsha uzi, ila watu ndani ya mioyo inawezekana pengine walijua status haina uzito.
 
Bila shaka upo any time huko, nikipata chance nitazungukia.

Ila tukikutana bila kujuana isipokuwa kwa kuhisiana tu kama siku ile ya mkando, si itakuwa poa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], maana wazee wa utelezi akina wizy najua watanivamia niwape koneksheni ya kumnasa mnyumbuaji wa PGO[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hahahaha.
 
Aisee Kwanza namshukuru Mungu kwa yote.

Status baada ya kufaulu written ikaandika selected for oral. Kisha baada ya oral kama wiki Moja hivi ikabadilika na kuwa Shortlisted ambayo ina sehemu ya kuview timetable bila interview number, then ikabadilika na kuwa selected for oral tena.

Baada ya muda ikaja ile shortlisted ambayo haina chochote, yaani haina interview number wala sehemu ya kuview timetable. Hii ilikaa sana mpaka juzi hapa ambapo ilibadilika na kuwa selected for oral. Jana usiku nimeona placement na mimi nimo na status inasoma selected for oral.
Hongera mkuu, vipi kwa app?? maana najua hzi status ulikua unazifuatilia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom