Job hunter
Member
- Sep 7, 2019
- 33
- 32
Mkuu Sio Kweli isikukatishe tamaa, mimi nilifanya zile za Nactvet na kwenye app ilikuwa imeandikwa selected for null ila sijapata amepata mwingine kabisa. Hii haina ukweli ndugu zangu kikubwa placement ndio msema kweli. Nakupa mfano mwingine nilipita oral pia ya HESLB na kwenye imeandikwa selected for null ila bado placement hazijatokaHii inasikitisha sana
Eeh Mungu nufanye niwe wa kwanz kuitwa kwenye placement nikiwa na NOT SELECTED kwenye app.
Kwenye web zimekuandikiaje huko?Mkuu Sio Kweli isikukatishe tamaa, mimi nilifanya zile za Nactvet na kwenye app ilikuwa imeandikwa selected for null ila sijapata amepata mwingine kabisa. Hii haina ukweli ndugu zangu kikubwa placement ndio msema kweli. Nakupa mfano mwingine nilipita oral pia ya HESLB na kwenye imeandikwa selected for null ila bado placement hazijatoka
Huenda umewekwa kanzi data mkuuMkuu Sio Kweli isikukatishe tamaa, mimi nilifanya zile za Nactvet na kwenye app ilikuwa imeandikwa selected for null ila sijapata amepata mwingine kabisa. Hii haina ukweli ndugu zangu kikubwa placement ndio msema kweli. Nakupa mfano mwingine nilipita oral pia ya HESLB na kwenye imeandikwa selected for null ila bado placement hazijatoka
Na not selected nae aendelee kusubiri pdf??Huenda umewekwa kanzi data mkuu
Asubiri tu maana mpaka Sasa majibu kamili hayajapatikanaNa not selected nae aendelee kusubiri pdf??
😂😂😂😂Kaka kweli not selected afu asubiri??kwanini iandike kwake tu ?Asubiri tu maana mpaka Sasa majibu kamili hayajapatikana
Ahmet kijana wangu njoo utupe za maombi yetu na utabiri wetu😂😂😂😂😂😂😂All the best kwa wama wote mnaoenda kulambaaa asali msiawasahau japo za vochaa wana waliobaki kitaa wamekwama hawajui hata kesho watakula nini...!!
Kila jambo kwa Imani kaka🤣,maana Kuna wenye selected na wamekosa😂😂😂😂Kaka kweli not selected afu asubiri??kwanini iandike kwake tu ?
😂😂😂😂Kaka sijakataa kuwa wamekosa lakini not selected afu asubiri kweli???Kila jambo kwa Imani kaka🤣,maana Kuna wenye selected na wamekosa
Imani yake ikimwambia asubiri anasubiri tuu pdf ndio msemaji wa mwisho😂😂😂😂Kaka sijakataa kuwa wamekosa lakini not selected afu asubiri kweli???
Na wasile kimasiharaAll the best kwa wama wote mnaoenda kulambaaa asali msiawasahau japo za vochaa wana waliobaki kitaa wamekwama hawajui hata kesho watakula nini...!!
😂😂😂😂Wanaenda kuzichakata kimasihara iviNa wasile kimasihara
kweli lakini mzee, hata pdf nayo inapitia hatua nyingi ndo kama hizo za status kubadilika😂😂😂Imani yake ikimwambia asubiri anasubiri tuu pdf ndio msemaji wa mwisho
Wadau wasijali Mimi nna not selected kwenye app,kwenye web nna shortlisted.nikikanda au nikikandwa ntakuja kuwapa tamko hapa status muizingatie au muachane nayo..japo tangu nikutane na not selected nimeendelea na ishu zangu zingine za mapambano🤣kweli lakini mzee, hata pdf nayo inapitia hatua nyingi ndo kama hizo za status kubadilika😂😂😂
Alafu nimeshaizoea🤣Genuine raf afu nishakumbuka nawewe imeandika not selected hahhhh😂😂😂😂😂
😂😂😂😂Hiyo status haina maana kaka angalia asaivi imechange tenaWadau wasijali Mimi nna not selected kwenye app,kwenye web nna shortlisted.nikikanda au nikikandwa ntakuja kuwapa tamko hapa status muizingatie au muachane nayo..japo tangu nikutane na not selected nimeendelea na ishu zangu zingine za mapambano🤣
Lazima uizoe Kaka maana hiyo ni kama damu yako haibadiliki😂😂😂😂😂Alafu nimeshaizoea🤣
Sasa je,maisha ndiyo hayahaya acha tuishi 🤣Lazima uizoe Kaka maana hiyo ni kama damu yako haibadiliki😂😂😂😂😂