Job hunter
Member
- Sep 7, 2019
- 33
- 32
Mkuu Sio Kweli isikukatishe tamaa, mimi nilifanya zile za Nactvet na kwenye app ilikuwa imeandikwa selected for null ila sijapata amepata mwingine kabisa. Hii haina ukweli ndugu zangu kikubwa placement ndio msema kweli. Nakupa mfano mwingine nilipita oral pia ya HESLB na kwenye imeandikwa selected for null ila bado placement hazijatokaHii inasikitisha sana
Eeh Mungu nufanye niwe wa kwanz kuitwa kwenye placement nikiwa na NOT SELECTED kwenye app.