Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii inasikitisha sana
Eeh Mungu nufanye niwe wa kwanz kuitwa kwenye placement nikiwa na NOT SELECTED kwenye app.
Mkuu Sio Kweli isikukatishe tamaa, mimi nilifanya zile za Nactvet na kwenye app ilikuwa imeandikwa selected for null ila sijapata amepata mwingine kabisa. Hii haina ukweli ndugu zangu kikubwa placement ndio msema kweli. Nakupa mfano mwingine nilipita oral pia ya HESLB na kwenye imeandikwa selected for null ila bado placement hazijatoka
 
Kwenye web zimekuandikiaje huko?
 
Huenda umewekwa kanzi data mkuu
 
kweli lakini mzee, hata pdf nayo inapitia hatua nyingi ndo kama hizo za status kubadilika😂😂😂
Wadau wasijali Mimi nna not selected kwenye app,kwenye web nna shortlisted.nikikanda au nikikandwa ntakuja kuwapa tamko hapa status muizingatie au muachane nayo..japo tangu nikutane na not selected nimeendelea na ishu zangu zingine za mapambano🤣
 
😂😂😂😂Hiyo status haina maana kaka angalia asaivi imechange tena
 
Back
Top Bottom