Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna taasisi sijawahi ona zinatoa ajira mfano NHIF ,NSSF nk
Sijajua ila kuna jamaa huwa ananipa ntepesi nyepesi kuwa utumishi wa vibali vya tasisi kama hizo ingawaje ni chache chace mno kwahiyo huwa wana feed kutoka kanzi data kwa wenye sifa pacha ndiyo maana nikawambia watu ukiona umekosa usishangae ukaitwa ktk taasisi hata hukuitegemea ukala mrija mzito
 
Anhaa ,so mchawi oral au sio ? , Mara unapigiwa simu unakula kitengo BOT au TCRA ,inakuwa mambo safi , kijana wa ovyo lazima nichakate mbususu na kuzihumiliate kwa hasira kama sina akili nzuri , maana hizi pisi zinatutreat jobless kama garbage huku kitaa ,🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Yeah mchawi oral mwamba amini kwamba na professional yako tu ikifeet vizuri kwe kachance kamoja ka BOT unaula tu au TCRA
 
Ben Mkapa Foundation uliwahi kuomba kazi pale? kabla hawajakupigia simu ukasaini mkataba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh mzee lazima tuombeane aseeh siku nikienda kuchukua barua nitazama kwanza chako ni chako hahhhh
Kijana wa hovyo, ukipata barua fanya mpango wa kumiliki utelezi wa kudumu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kijana wa hovyo sana hahhhhh Kwamba uzihumiliate mbususu hahhhh
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hahhhh jobless wanahasira sana humu walinisema kwakiingereza "thi is too much" kama wamenisomesha wao hahhhh
Wataelewa tu mwisho wa siku fact zako mana ukweli mchungu mm mwenyewe sasa nimetulia sin kimuhe muhe san cha placement najua mpka january hko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…