Kawaida focus na mipango mingineJkt nimepita mzee ndio maana sina wasiwasi moyoni sasa hivi nimekubali matokeo japo nimekandwa ad natetemeka
Ngoja waje kutupa muongozo wataalamu akina Mwifwa wizy Mwaisa1202 abecheNimesoma Hr nimefanya interview Security nimekosa[emoji3][emoji3][emoji3]wakuu nauliza je, naweza kupata placement ya U-HR endapo nimo data base na nafasi zikipatikana au ntakuwa database kufit nafasi za ulinzi tu[emoji847][emoji847]???
Kweli kabisa sasa hivi nimekunjua roho,Kawaida focus na mipango mingine
πππKwa security officer nadhani ni mwezi mmoja labda lakini wale operators ,air controller inakuwa mwaka mzima yaniMafunzo ya mwaka mmoja si balaa [emoji23] unamaliza probation ukiwa training huko balaa sana
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hr unaingikia kila sehemu usiwe na hofu chamuhimu upo data baseNimesoma Hr nimefanya interview Security nimekosaπππwakuu nauliza je, naweza kupata placement ya U-HR endapo nimo data base na nafasi zikipatikana au ntakuwa database kufit nafasi za ulinzi tuπ€π€???
Ila hata security officer mafunzo ya mwezi mmoja hayatoshi maana aviation industry Ni kitu kigeni kwa karibia watu wote hivyo lazima kuanza na introduction mpaka mwisho watu wajue[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa security officer nadhani ni mwezi mmoja labda lakini wale operators ,air controller inakuwa mwaka mzima yani
Ngoja waje kutupa muongozo wataalamu akina Mwifwa wizy Mwaisa1202 abeche
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Sio lazima uwe security tu unaweza kuwa placed post tofautiNgoja waje kutupa muongozo wataalamu akina Mwifwa wizy Mwaisa1202 abeche
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hayo ndio maneno,,,,,. Yaani watu wa JF mubarikiwe yaani mnajua kufariji sana hata ukikandwa ukija humu unapona mahasira na machungu yanapungua (kazi yenyewe nilikuwa siipendi Ulinzi)jokes)Hr unaingikia kila sehemu usiwe na hofu chamuhimu upo data base
Yes lakini nyie kazi zenu sio za ajabu sana ngoja Kuna manzi mmoja yupo JNIA pale nikimpata nitamuulizia aniambie yeye alisoma hayo ya hrIla hata security officer mafunzo ya mwezi mmoja hayatoshi maana aviation industry Ni kitu kigeni kwa karibia watu wote hivyo lazima kuanza na introduction mpaka mwisho watu wajue
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Basi Hadi hapo aake kwa kutulia asikilizie, pia Kuna nafasi 65 za HR MDA & LGA soon wanaitwa usaili ajipange tu kusoma na kwenda kutoboaSio lazima uwe security tu unaweza kuwa placed post tofauti
Mzee kunywa maji mengi ww ni professional popote una fit tofauti na hawa security guard nk tulia pia kuna info nimekutumia pmHayo ndio maneno,,,,,. Yaani watu wa JF mubarikiwe yaani mnajua kufariji sana hata ukikandwa ukija humu unapona mahasira na machungu yanapungua (kazi yenyewe nilikuwa siipendi Ulinzi)jokes)
πππππHahhhhh Kaka kwanza ulinzi ?ulinzi wa airport ni sawa na daktari mzeeHayo ndio maneno,,,,,. Yaani watu wa JF mubarikiwe yaani mnajua kufariji sana hata ukikandwa ukija humu unapona mahasira na machungu yanapungua (kazi yenyewe nilikuwa siipendi Ulinzi)jokes)
Yes chamuhimu kujiandaa tu na zinazofata na tusiwe na expectations kubwa sanaBasi Hadi hapo aake kwa kutulia asikilizie, pia Kuna nafasi 65 za HR MDA & LGA soon wanaitwa usaili ajipange tu kusoma na kwenda kutoboa
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Security officer siyo mlinzi sema labda hakuelewa job description vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh Kaka kwanza ulinzi ?ulinzi wa airport ni sawa na daktari mzee
ππππHiyo info naomba uni pm na mimi hahhhhhMzee kunywa maji mengi ww ni professional popote una fit tofauti na hawa security guard nk tulia pia kuna info nimekutumia pm
πππππKitengo kile unanenepa ndani ya wiki moja mamaeeeeSecurity officer siyo mlinzi sema labda hakuelewa job description vizuri
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hizo job descriptionView attachment 2440153Hayo ndio maneno,,,,,. Yaani watu wa JF mubarikiwe yaani mnajua kufariji sana hata ukikandwa ukija humu unapona mahasira na machungu yanapungua (kazi yenyewe nilikuwa siipendi Ulinzi)jokes)
ππππ Upo katika mabadiriko ya selected for oral mzeee ππππππππHiyo info naomba uni pm na mimi hahhhhh
ππππoya mbona unanitishia mzee hebu fafanua vizuri mabadiliko gani tenaππππ Upo katika mabadiriko ya selected for oral mzeee ππππ
Hahaha unanenepaje ndani ya wiki mzee utakuwa panya buku Nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitengo kile unanenepa ndani ya wiki moja mamaeeee