Omba sana upangwe JNIA au Chuga pale afu utakuja kuniambia baada ya miezi sita tu ,lakini mikoa mingine jauBasi mungu ajalie nisikute hizo hela zimeisha [emoji38][emoji23] maana vyuma vinabana kinoma
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Nilishaknana nao Dar jk nyerere pale mzee suti utafikiri usalama wa taifa wana vimba mbaya oya ukinivimbia hadi mimi mzee nakuzingua πππ wavimbie foreigners haoBasi mungu ajalie nisikute hizo hela zimeisha [emoji38][emoji23] maana vyuma vinabana kinoma
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Nikinunua Subaru kabla yako nakuazima uwe unajitafutia utelezi kilaini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hela zipo nakuombea uende chuga pale ununue Subaru mapema tu uanze kutembea umekaa
Ukishaanza kazi utaelewa namaanisha nini lakini omba uende chuga au jNIAChuga Kuna madili kwani au utofauti wake Nini na viwanja vingine
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
πππππKwamba nile mbususu kimasihara au sio hahhhh kijana wa hovyo sanaNikinunua Subaru kabla yako nakuazima uwe unajitafutia utelezi kilaini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kiongozi wewe nitakupatia heshima yako mapema Sana Ila ujitambulishe [emoji23][emoji16]Nilishaknana nao Dar jk nyerere pale mzee suti utafikiri usalama wa taifa wana vimba mbaya oya ukinivimbia hadi mimi mzee nakuzingua [emoji23][emoji23][emoji23] wavimbie foreigners hao
ππππKwanza kuziona ndege tu moyo unasuuzika mamaeeeUziri wa Airport kila mtu anatamani akafanye kazi pale yaani mazingira ya kazi ni mazuri unaweza kunenepa hata kama hulipwiππππ
Wewe kilio chako kikubwa Ni demu aliyekuambia hawezi kula vyeti vyako kwaiyo nakuazima gari ujiachie kumlipizia kisasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba nile mbususu kimasihara au sio hahhhh kijana wa hovyo sana
ππππHahhhh security officer wanakazaga sana aseehNilishaknana nao Dar jk nyerere pale mzee suti utafikiri usalama wa taifa wana vimba mbaya oya ukinivimbia hadi mimi mzee nakuzingua πππ wavimbie foreigners hao
Hahahaha unanenepa sababu ya kupiga story na wazungu muda woteUziri wa Airport kila mtu anatamani akafanye kazi pale yaani mazingira ya kazi ni mazuri unaweza kunenepa hata kama hulipwi[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sawa mkuuUkishaanza kazi utaelewa namaanisha nini lakini omba uende chuga au jNIA
Nikikwambia makofia hapa una fanya che up fasta kijana wako niruke πππKiongozi wewe nitakupatia heshima yako mapema Sana Ila ujitambulishe [emoji23][emoji16]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu wewe unapita bila kukaguliwa hata Kama umebeba magendo nakupa ofa [emoji23] [emoji23][emoji38] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji23] (Joking)Nikikwambia makofia hapa una fanya che up fasta kijana wako niruke [emoji23][emoji23][emoji23]
ππππHahhhh afu aliniambia yupo serious akataja na jina eti "you know what Mr majobless boy you can not feed our kids your degree"kweli si dharau hahhhWewe kilio chako kikubwa Ni demu aliyekuambia hawezi kula vyeti vyako kwaiyo nakuazima gari ujiachie kumlipizia kisasi [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
πππππππππSawa mkuu wewe unapita bila kukaguliwa hata Kama umebeba magendo nakupa ofa [emoji23] [emoji23][emoji38] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji23] (Joking)
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
ππππHahhhhNikikwambia makofia hapa una fanya che up fasta kijana wako niruke πππ
Hiyo dharau Sana Kaka sema umsamehe bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh afu aliniambia yupo serious akataja na jina eti "you know what Mr majobless boy you can not feed our kids your degree"kweli si dharau hahhh
ππππHasira zangu namalizia kwenye kununua Subaru KakaHiyo dharau Sana Kaka sema umsamehe bure [emoji23]
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hiyo Subaru unakuwa unampa lift kila siku halafu humuombi utelezi anabaki kujiuliza nimekosea wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hasira zangu namalizia kwenye kununua Subaru Kaka