Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Basi mungu ajalie nisikute hizo hela zimeisha [emoji38][emoji23] maana vyuma vinabana kinoma

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Nilishaknana nao Dar jk nyerere pale mzee suti utafikiri usalama wa taifa wana vimba mbaya oya ukinivimbia hadi mimi mzee nakuzingua 😂😂😂 wavimbie foreigners hao
 
Nilishaknana nao Dar jk nyerere pale mzee suti utafikiri usalama wa taifa wana vimba mbaya oya ukinivimbia hadi mimi mzee nakuzingua [emoji23][emoji23][emoji23] wavimbie foreigners hao
Kiongozi wewe nitakupatia heshima yako mapema Sana Ila ujitambulishe [emoji23][emoji16]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Wewe kilio chako kikubwa Ni demu aliyekuambia hawezi kula vyeti vyako kwaiyo nakuazima gari ujiachie kumlipizia kisasi [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂Hahhhh afu aliniambia yupo serious akataja na jina eti "you know what Mr majobless boy you can not feed our kids your degree"kweli si dharau hahhh
 
Back
Top Bottom