ππππNaenda kupigia honi getini kwao hahhhh wakiuliza vipi nawambia nimewaletea huu mkokoteni mkachotee majiHiyo Subaru unakuwa unampa lift kila siku halafu humuombi utelezi anabaki kujiuliza nimekosea wapi
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Sikumbuki muda gani ila walifanyia pale pale Mwalimu Nyerere Airport. Na yeye alipagiwa kazi dar but now yupo DodomaMafunzo walitumia muda gani na walifanyia palepale DSM?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Ila mwanangu cha msingi katika utumishi wako jitahidi kuweka ushirikiano muonedhe furaha kila mtumishi mwenzako,,,penda kujifunza kupitia utao wakuta,,,usiwe mtu wa kujitenga sana washirikishe kile unachoona kina utata changamoto zitabaki ndogo mno za kiutumishi ambazo ni za kawaida mungu yu pamoha nawewSawa mkuu wewe unapita bila kukaguliwa hata Kama umebeba magendo nakupa ofa [emoji23] [emoji23][emoji38] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji23] (Joking)
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utawaua watoto hebu tulia kwanza Mr Jobless[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naenda kupigia honi getini kwao hahhhh wakiuliza vipi nawambia nimewaletea huu mkokoteni mkachotee maji
Muda sikumbuki ila nitamuuliza jamaa kesho lakini haikuzidi miezi 3Mafunzo walitumia muda gani na walifanyia palepale DSM?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Shukrani Sana mkuu kwa ushauri wako konki hakika nitafuata maoni yakoIla mwanangu cha msingi katika utumishi wako jitahidi kuweka ushirikiano muonedhe furaha kila mtumishi mwenzako,,,penda kujifunza kupitia utao wakuta,,,usiwe mtu wa kujitenga sana washirikishe kile unachoona kina utata changamoto zitabaki ndogo mno za kiutumishi ambazo ni za kawaida mungu yu pamoha nawew
[emoji1666]Muda sikumbuki ila nitamuuliza jamaa kesho lakini haikuzidi miezi 3
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kumbe jobless wakati mwingine kunakuwaga na akili tuππππIla mwanangu cha msingi katika utumishi wako jitahidi kuweka ushirikiano muonedhe furaha kila mtumishi mwenzako,,,penda kujifunza kupitia utao wakuta,,,usiwe mtu wa kujitenga sana washirikishe kile unachoona kina utata changamoto zitabaki ndogo mno za kiutumishi ambazo ni za kawaida mungu yu pamoha nawew
Kila taasisi unaingia ndugu...omba mungu uwepo data baseNimesoma Hr nimefanya interview Security nimekosa[emoji3][emoji3][emoji3]wakuu nauliza je, naweza kupata placement ya U-HR endapo nimo data base na nafasi zikipatikana au ntakuwa database kufit nafasi za ulinzi tu[emoji847][emoji847]???
Na ikitokea umepata kazi mfano taasisi kama TANESCO kwa nafasi hiyo ya hr mwaka tu una subaru.Nimesoma Hr nimefanya interview Security nimekosa[emoji3][emoji3][emoji3]wakuu nauliza je, naweza kupata placement ya U-HR endapo nimo data base na nafasi zikipatikana au ntakuwa database kufit nafasi za ulinzi tu[emoji847][emoji847]???
Kumbe jobless wakati mwingine kunakuwaga na akili tuππππππ Unajua hizi taasisi nyeti inabidi tuishi nazo kwa akili mno sasa jembe letu halitatuangusha naamini
Hata uniform zao zinavutia aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh Kaka kwanza ulinzi ?ulinzi wa airport ni sawa na daktari mzee
Hadi nimeamka mzeee hiii Coment naenda kuiweka nyerere square pale DodomaNa ikitokea umepata kazi mfano taasisi kama TANESCO kwa nafasi hiyo ya hr mwaka tu una subaru.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yes yes upo data base muda wowote unapata kitengoHii inamaana Jobless niendeleee kupitia mikeka ya placement huenda nikaja kujikuta nimo kwenye dimbwi la asali
Pole mamaayani acha tu,sitaki hata kukumbuka
Dah nchi ngumu hii miezi 5 unasbria kupigiwa sm so sadSawa mkuu maana wengine tunaona taasisi zao zinawachelewesha Sana kuanza kazi mfano TRC waliitwa kazini March mwaka huu wakaripoti Ila wakaambiwa warudi nyumbani watapigiwa simu wamekuja kuitwa mwezi August kuanza kazi, so wamekaa home miezi 5 sijui inatokana na Nini hii Hali
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Ili inoge zaidi, nenda weekend. Yaani Ijumaa upo Dom.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh mzee lazima tuombeane aseeh siku nikienda kuchukua barua nitazama kwanza chako ni chako hahhhh