😂😂😂😂Naenda kupigia honi getini kwao hahhhh wakiuliza vipi nawambia nimewaletea huu mkokoteni mkachotee majiHiyo Subaru unakuwa unampa lift kila siku halafu humuombi utelezi anabaki kujiuliza nimekosea wapi
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app