Yes confidence inakuja ukishawazoea wale ,Yani kwamfano mimi naonaga kawaida tu sasa shida inakujaga wakiuliza kitu ambacho sikijui au sijakisoma😂😂😂😂😂Ila nimegundua ukifanya fanya oral kujiamini kinakuja yanabaki Madesa sasa [emoji848][emoji848][emoji3][emoji3][emoji3]
Sure kabisa, Mungu atusaidie me naamini siku yetu inakuja soonYes confidence inakuja ukishawazoea wale ,Yani kwamfano mimi naonaga kawaida tu sasa shida inakujaga wakiuliza kitu ambacho sikijui au sijakisoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tutapata tu tuwe na imaniSure kabisa, Mungu atusaidie me naamini siku yetu inakuja soon
Pole sana mkuuKiukweli nimeumia sana[emoji24]
Yani niliingia oral interview na pass mark kubwa. Status ikasoma shortlisted hadi Selected for oral. Kwenye Application ilisoma Selected for Null lakini matokeo yake nimekandwa. I dare to say it [emoji856] hurt unconditionally. Jamani Hongera mliopata ila maisha hayako sawa
Ni kweli kabisa mkuuNawashauri tu msiwe na expectations kubwa utumishi wanakuaga na maajabu sana inabidi uwazoee tu
Tuendelee kuwa na imani mungu yupoTutapata tu tuwe na imani
Chuga Kuna madili kwani au utofauti wake Nini na viwanja vingine
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Wanaanza upya kabsa na hata maksi zenu za written wanakuwa hawazitambui pale.Ivi ukiingia oral huwa wanajumlisha na pass marks ya written au practical au ukiingia oral wanaanza upya kukukanda je mfano Naweza ongoza practical maybe oral tumefika 7 nafasi 4 na nikiingia oral naweza kukandwa mfano poa nisaidieni jibu
Waliofnya pract zinahesabiwa kwa mujibu wa muongozo waoWanaanza upya kabsa na hata maksi zenu za written wanakuwa hawazitambui pale.
Kwa kifupi mkishaingia oral wote mnakuwa na chance sawa ya kupata kazi, ni wewe sasa kuanza kuzipunguza mpk zistoshe😅😅
Nafikiri wanafata miongozo ile inavyowaguideWaliofnya pract zinahesabiwa kwa mujibu wa muongozo wao
Marks za wrtten ndo zinawekwa dustbin🚮Waliofnya pract zinahesabiwa kwa mujibu wa muongozo wao
Sure kabisaTutapata tu tuwe na imani
Kikubwa umeshapata uhakika wa kazi ni kumshukuru Mungu...Sawa mkuu maana wengine tunaona taasisi zao zinawachelewesha Sana kuanza kazi mfano TRC waliitwa kazini March mwaka huu wakaripoti Ila wakaambiwa warudi nyumbani watapigiwa simu wamekuja kuitwa mwezi August kuanza kazi, so wamekaa home miezi 5 sijui inatokana na Nini hii Hali
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Anayejua kama umejibu kwa usahihi ni panel tu.Mliofanikiwa mlijibu maswali yote kwa usahihi?
Embu dodosha maswali uliyokutanayo hayo ya point 5 5 bas watu wajifunze [emoji3][emoji3]Nawasubiri tu maana daah oral nayo inavuruga Sana na ukiiwaza ulivyoipata sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sahihi kabisa ,,ila Kama swali unalijua vzr na vipoint VYAKO UKAPITA mule mule,unajipa uhakika kabisaAnayejua kama umejibu kwa usahihi ni panel tu.
Wasailiwa huwa tunatimiza wajibu wa kujibu maswali yote tu
ORAL INTERVIEW - ASA : ECONOMIST IIEmbu dodosha maswali uliyokutanayo hayo ya point 5 5 bas watu wajifunze [emoji3][emoji3]
Maswali sio magumu sana ila kama hukupitia madesa plus na ile pressure ya mule ndani unaweza kupigwa NDOIGE[emoji28]ORAL INTERVIEW - ASA : ECONOMIST II
1. Explain your life history and education backgrounds.
2. Features of privatization(5 points)
3. Conditions for the equilibrium of the economy (5 pints)
4. Features of Recession (5 pints)
5. Measures of Price elasticity of demand ( 3 points)
Dude hilo hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Balozii..ilikua ku mention au ku explain?ORAL INTERVIEW - ASA : ECONOMIST II
1. Explain your life history and education backgrounds.
2. Features of privatization(5 points)
3. Conditions for the equilibrium of the economy (5 pints)
4. Features of Recession (5 pints)
5. Measures of Price elasticity of demand ( 3 points)
Dude hilo hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ExplainBalozii..ilikua ku mention au ku explain?