Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hahahaaa.

Inabidi wakurejeshee ID yako mkuu.

Imagine hadi tumewavuta PSRS kufungua ID humu
 
issue nahisi ilianza kwny ule uzi wa Yule jamaa aliye pata ufaulu mzuri (alikuwa wa pili) lkn kada ya TA na akawa not selected...
nyiee mliletaga mad mule ika trend cku hiyohiyo nikala ban kwny ule uzi wangu wa pili
Kwamba hawakutaka tujadili hayo makosa yao?.

Kwa hiyo ukilog in kwenye web na ID waliyopiga ban wanakuletea sababu hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…