Ni sahihi:Intgema na marks za oral...usaili wenye practical hujumlishwa marks za prac na oral mwenye nyingi ndio hupewa kazi
Tuchukulie mwenye Prac 85 then oral kapata 5, jumla itakuwa 90nasema ivyo nilifanya usahili kampuni x wanataka watu wawili tulikua watano prac wa kwanza alipata 85 wa pili 83 na wa tatu 78 na kushuka chini nauliza je huo mlolongo kushuka chini ni mdogo sana sio maksi nyingi je wa kwanza anaweza kufeli
Kwa mimi ni huyo wa 93Tuchukulie mwenye Prac 85 then oral kapata 5, jumla itakuwa 90
Mwingine ana Prac 78 then oral kapata 15, jumla ni 93.
Kati ya hao nani kafaulu kwa marks za juu?
Japo kuwa hapo 92 gawa kwa 2 haifiki 50. Inatakiwa wakijumlisha hizo mbili wakigawa kwa 2 upate 50+Tuchukulie mwenye Prac 85 then oral kapata 5, jumla itakuwa 90
Mwingine ana Prac 78 then oral kapata 15, jumla ni 93.
Kati ya hao nani kafaulu kwa marks za juu?
Kwa kuongezea kati ya hao na aliyepata practice 70 na oral 30 ...total 100 gawa kwa 2 inakuwa 50 huyu atakuwa kalamba asali au kuna kuna mwingine atakuwa kapata zaidi yake basi huyu atabaki kwenye kanzidata (data base) ila wale wengine waliopata practice 90, oral 5 total 95 ukigawa kwa 2 unapata 47.5 huyu hata kuwa kwenye kanzi data hana sifaKwa mimi ni huyo wa 93
Sure kwenye oral sometymz ung'eng'e ukiwa vzuri unakusaidia kuelekea kuilamba asaliWengine written, na practice changamoto ila ukimpeleka kwenye kuongea anakukimbiza pia kwa waliosoma English medium na ungenge ukawa unapanda sana huyu ana advantage kubwa ya kuchukua kombe akifika kwenye oral na hasa kama anashindana na wakayumba ambao English sio rafiki sana kwao japo wapo wazuri pia kwenye kiinglish japo wamesoma kayumba
Ndio hivyo mkuu, ukivurunda oral wakati una marks nzuri Prac uko kwenye risk ya kubwagwa chini na wengineKwa mimi ni huyo wa 93
Sawa mkuuJapo kuwa hapo 92 gawa kwa 2 haifiki 50. Inatakiwa wakijumlisha hizo mbili wakigawa kwa 2 upate 50+
Sifa mkuu, zipo kushoto
utofauti wa maksi 5 au 7 au 10 sio nyingi kumbe waweza pinduliwa nikajua ukiwa wa kwanza umepita kumbe no ila unakua na chance kubwa kama unawazid wenzio kwa mbali ila kama utafauti ni maksi 7 rahis sana kupinduliwaKwa kuongezea kati ya hao na aliyepata practice 70 na oral 30 ...total 100 gawa kwa 2 inakuwa 50 huyu atakuwa kalamba asali au kuna kuna mwingine atakuwa kapata zaidi yake basi huyu atabaki kwenye kanzidata (data base) ila wale wengine waliopata practice 90, oral 5 total 95 ukigawa kwa 2 unapata 47.5 huyu hata kuwa kwenye kanzi data hana sifa
Unaweza kuwa vzr kweny ung'eng'e lkn Kama ukipigwa maswali ukawa unayomajibu ,lkn Kama majibu huna au hola ung'eng'e haukusaidiii atakidogo tutambue Hilo [emoji1][emoji1]Sure kwenye oral sometymz ung'eng'e ukiwa vzuri unakusaidia kuelekea kuilamba asali
Waliopitia prac zinahusikaMkienda oral, mnaanza moja marks zenu za mchujo hazina kazi tena
Inategemea kaka mm nlifanya oral kuna swali nlipgwa nkawa najijibia tuu kwakua sikusoma ivo vitu lakini placement kuja kutoka nkalamba asaliUnaweza kuwa vzr kweny ung'eng'e lkn Kama ukipigwa maswali ukawa unayomajibu ,lkn Kama majibu huna au hola ung'eng'e haukusaidiii atakidogo tutambue Hilo [emoji1][emoji1]
Sifa majibu tu na hasa hasa hz sahili za utumishi ni point zako 5 zinazohitaji pumzi ya kutosha ...ss we njoo na kiingereza chako Halaf unajibu OP ndio utajua hujui[emoji23][emoji23]
Hvwewe Mwifwa haya mambo unayatoa wapi.. unaonekana unajua sana kana kwamba ni mtu wa PSRS😁😁..Ni sahihi:
Oral = Jumla
Kwa kada ambazo hazina Prac wala Presentation
Prac + Oral = Jumla
Kwa kada zenye Prac
Presentation + Oral = Jumla
Kada zenye Presentation
Sawa mkuu, nilisahau hilo.Waliopitia prac zinahusika
Hahahaa, nimepitia kanuni zao kwenye kipengele cha ALAMA ZA UFAULU ndio nikaja na hiyo samariHvwewe Mwifwa haya mambo unayatoa wapi.. unaonekana unajua sana kana kwamba ni mtu wa PSRS[emoji16][emoji16]..
Hebu tuecheni jamani tusibirie placements tu hapa haya mambo ya marks tuwaachie wenyewe PSRS..
PSRS pigeni kazi huko ofisini..sie Majobless tunawategemea saaaaaan
Nilihudhuria interview za MDH written na prac zote niliongoza mimi oral tulingia 14 wanahitajika watu sita ila nilifeli sababu nadhani waliponiuliza nichangue lugha ntakayokua comfortable nkachagua kiswahili pia kuna swali la qualities of civil servant nilipata point 3 badala ya 6 .Ndio hivyo mkuu, ukivurunda oral wakati una marks nzuri Prac uko kwenye risk ya kubwagwa chini na wengine
Shida unaweza chagua kiswahili lkn majibu yako muda mwingine yakahusisha baadhi ya maneno ya kiingereza umepigiwa hapo ,,Nilihudhuria interview za MDH written na prac zote niliongoza mimi oral tulingia 14 wanahitajika watu sita ila nilifeli sababu nadhani waliponiuliza nichangue lugha ntakayokua comfortable nkachagua kiswahili pia kuna swali la qualities of civil servant nilipata point 3 badala ya 6 .
Pamoja na kwamba niliongoza uko nyuma ila nilichemkia oral.
Lakini pia interview ilikua na kujuana kimtindo make inasimamiwa na watu wa halimashauriShida unaweza chagua kiswahili lkn majibu yako muda mwingine yakahusisha baadhi ya maneno ya kiingereza umepigiwa hapo ,,
Kosa la kwanza ni kuchagua Kiswahili ilionesha kabisa una wasi wasi na kimombo chako halafu ukilinganisha na shirika(MDH).Nilihudhuria interview za MDH written na prac zote niliongoza mimi oral tulingia 14 wanahitajika watu sita ila nilifeli sababu nadhani waliponiuliza nichangue lugha ntakayokua comfortable nkachagua kiswahili pia kuna swali la qualities of civil servant nilipata point 3 badala ya 6 .
Pamoja na kwamba niliongoza uko nyuma ila nilichemkia oral.