Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hili suala la wizy naona bado linafikirisha sana. Au ndio ile tabia ya kufall in love na Avatar akajikuta ameenda Dm kumbe akakutana na watu wabaya wakamteka?

Najaribu kujiaminisha kwamba ni jambo la kawaida, na pengine ameamua tu mwenyewe lakini bado nafsi inakataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…