Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Police General OrderHivi pgo ni nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Police General OrderHivi pgo ni nini
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hahahaa mkuu balozi aliniambia inasaidia
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Hapana mimi ni wale wale aliowasema Yakunle [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakazia Tu.Nimekusoma sana humu, nimegundua una Akili sana
Ni wakati sasa serikali ikutumie.
[emoji3][emoji3][emoji3]Daah!!! Kazi za GVT balaa kuumaliza Mwaka ni kawaida tu ukiwa unazisubiria[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]Kwa trend na msongamano ulivyo, sahau kuhusu placements za November, December. Kwa mbaali labda za October tena mwanzoni.
Zingine hadi mwakani.
Kama hiz za TRA, kama kuwa shortlisted tu watu wamekaa miezi 8.. basi mpaka kuitwa kazini mwaka utafika ukijumlisha na hii miezi 8[emoji3][emoji3][emoji3]Daah!!! Kazi za GVT balaa kuumaliza Mwaka ni kawaida tu ukiwa unazisubiria[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
kumbuka Placement za October bado hazijamalizika[emoji3][emoji3][emoji3]Daah!!! Kazi za GVT balaa kuumaliza Mwaka ni kawaida tu ukiwa unazisubiria[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Ukipigiwa simu ulukopataga utapatikana mkuu?Jobless wenzangu niaje nipo Poli no internet connection napigika na vibarua aisee jana nimeingia town soon (kesho) napotea Tena maybe mpaka mwakani Tena All in all nipo good [emoji106]
Maisha yanaenda kasi sanaToka jana nasoma huu Uzi hadi nimechoka nimeiona wadau wamekula asali aiseee kama kawaida kwangu mambo bila bila mkianza job mniambie jamani
Daah huu ni uvumilivu wa kiwango cha flyoverKama hiz za TRA, kama kuwa shortlisted tu watu wamekaa miezi 8.. basi mpaka kuitwa kazini mwaka utafika ukijumlisha na hii miezi 8
Ujobless ni balaa Tz. God bless uskumbuka Placement za October bado hazijamalizika
Kama hiz za TRA, kama kuwa shortlisted tu watu wamekaa miezi 8.. basi mpaka kuitwa kazini mwaka utafika ukijumlisha na hii miezi 8
Ukifika site lain naweka Kwa simu ndogo napatikana fresh tu pia jamaaa nimewambia wakitafutwa waniambie so wananipa mrejesho mambo ni hoviez tu hakuna kitu so mwakani hiyo labda mwezi wa 2Ukipigiwa simu ulukopataga utapatikana mkuu?
Hivi barua ulichukua mwezi ganiUkifika site lain naweka Kwa simu ndogo napatikana fresh tu pia jamaaa nimewambia wakitafutwa waniambie so wananipa mrejesho mambo ni hoviez tu hakuna kitu so mwakani hiyo labda mwezi wa 2
9Hivi barua ulichukua mwezi gani
Kizuri sana una mawasiliano na wenzio