Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hawa jamaa hawajasahisha hii mitihani amini hivyo!.

Mkuu BALENSIAGA hii mitihani huwa wana mark vizuri kabisa, sema huwa wanapenda majibu yawe short and clear.
Pia nilifanya usail ktk kada ya TMO II lkn maksi zangu hazijatosha kusonga mbele na nimeridhika na matokeo japo nimeumia lkn inabidi maisha yasonge mbele.

Naamnin wana mark kwani kuna baadh ya post nmefika oral na nasubiri placement panapo majaliwa.
 
Ni kawaida watu kuwa na mawazo tofaut tofaut pale wanapokuwa hawaoni kinachofanyika baada ya wao kukusanya mitihani yao, i mean wengi walitamani waone mitihani yao adi na marks zao wazione na jinsi ilivosahishwa ili wajiridhishe,ila ndo haiwezekani.

Ila mitihani ina sahishwa, kwa sababu toka wanze ii process ya kusimamia ajira mpaka leo kama wangekua hawasaishi mitihani ingejulikana haraka sana hata mwaka wasingemaliza, mafuta siku zote huwa yanajitenga na maji
 
Mkuu tusaidie hicho kitabu cha kanuni
 
Hata mimi nimetoboa wazee najiandaa na prac japo ngoma ilipigia kwenye msitari
Hongera sana mkuu, sasa nenda kapambane kwa udi na uvumba ile ugike hatua ya mwisho(oral).

Siku ile ulikwama na usafiri wa usiku, nina imani haya matokeo yamepoza yale maumivu ya kukwama
 
Hongera sana mkuu, hivyo ndivyo unaongeza wigo wa kuusogelea mrija wa Asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…