Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hawa jamaa hawajasahisha hii mitihani amini hivyo!.

Mkuu BALENSIAGA hii mitihani huwa wana mark vizuri kabisa, sema huwa wanapenda majibu yawe short and clear.
Pia nilifanya usail ktk kada ya TMO II lkn maksi zangu hazijatosha kusonga mbele na nimeridhika na matokeo japo nimeumia lkn inabidi maisha yasonge mbele.

Naamnin wana mark kwani kuna baadh ya post nmefika oral na nasubiri placement panapo majaliwa.
 
Ni kawaida watu kuwa na mawazo tofaut tofaut pale wanapokuwa hawaoni kinachofanyika baada ya wao kukusanya mitihani yao, i mean wengi walitamani waone mitihani yao adi na marks zao wazione na jinsi ilivosahishwa ili wajiridhishe,ila ndo haiwezekani.

Ila mitihani ina sahishwa, kwa sababu toka wanze ii process ya kusimamia ajira mpaka leo kama wangekua hawasaishi mitihani ingejulikana haraka sana hata mwaka wasingemaliza, mafuta siku zote huwa yanajitenga na maji
 
Kanuni namba 16 (3) inasomeka hivi: Alama za ufaulu kwa kada zinazohusisha usaili wa vitendo au uwasilishaji wa mada zitapatikana kwa kuchukua alama za vitendo au uwasilishaji wa mada jumlisha alama za mahojiano

Hii kanuni haijafafanua zaidi kama itakuwa hivi Prac/uwasilishaji + Oral = Jumla au (Prac/uwasilishaji + Oral) ÷ 2 = Jumla.
Kwa hiyo wao ndio wanajua zaidi hapo
Mkuu tusaidie hicho kitabu cha kanuni
 
Hata mimi nimetoboa wazee najiandaa na prac japo ngoma ilipigia kwenye msitari
Hongera sana mkuu, sasa nenda kapambane kwa udi na uvumba ile ugike hatua ya mwisho(oral).

Siku ile ulikwama na usafiri wa usiku, nina imani haya matokeo yamepoza yale maumivu ya kukwama
 

Attachments

  • JamiiForums1960268882_479x640.jpg
    JamiiForums1960268882_479x640.jpg
    39.9 KB · Views: 10
  • JamiiForums-1523233063_540x385.jpg
    JamiiForums-1523233063_540x385.jpg
    31.3 KB · Views: 9
Hakika nilikua nawaza sana wadau wanaotoa ushuhuda kua wamewezaje ingia oral zaid ya moja,kama wizy hakika na mimi nashkuru safu yangu ya ushambulizi huku Mbappe na Neymar yaani NAOT na TRA hakika kila kitu kinawezekana ni kuendelea kufanya jitihada tu
Hongera sana mkuu, hivyo ndivyo unaongeza wigo wa kuusogelea mrija wa Asali
 
Back
Top Bottom