Kweli uyu jamaa ni hatar kaonganisha adi tarehe za ORCI ambazo sijui zina husiana na nn. Nikaone nifanye research ndogo kumuonesha sio mm.Kaka wewe noma sana huyu ni yeye asilimia 99.9
Mkuu uliwaza nini hadi ukafanya hivi!?Wasomi wa cuba hapo kidogo mmeyumba.
Huu ni mwaka wa 5 sasa nipo humu JF na Id yangu hii hii, member wengi ambao tushawahi kuinteract mara kwa mara huwa sishindwi kuwatambua pindi wakija na ID mpya.Naona navojitaidi kusisitiza mm sio yeye ndo kama nazid kusema mm ndo yeye. ngoja nitulie, kama atarudi ata thibitisha hilo.
Kaka sio mm ii account ni ya tereh 10 dec kama ulivo sema, last seen ya wizy ni tarehe 11 dec kama angetaka ku change ID ange badilishaa baada ya tareh 11 au tareh 11 hio2.Mkuu uliwaza nini hadi ukafanya hivi!?
Sasa si uliacha kuingia humu hiyo tarehe 11 na ID hiyo(Wizy) baada ya hii ID kuwa approved na Mods?Kweli uyu jamaa ni hatar kaonganisha adi tarehe za ORCI ambazo sijui zina husiana na nn. Nikaone nifanye research ndogo kumuonesha sio mm.
hii account imetengenezwa trh 10 dec but last seen ya wizy ni trh 11 dec, hii inatosha kusema mm sio yeye, hapa msomi wa cuba kidogo hakuwa sawa kwenye data kasahau taarifa muhimu.
WASHAANZA NA LAKUFUNGIA MWAKAKuna placements ya MNJUAT....mkaangalie majina yenu mliofanya usahili huo.
Halafu naona utakuwa unacheka sana jinsi unavyotujibu hivi.Kaka sio mm ii account ni ya tereh 10 dec kama ulivo sema, last seen ya wizy ni tarehe 11 dec kama angetaka ku change ID ange badilishaa baada ya tareh 11 au tareh 11 hio2.
Id yangu ina siku ya 3 toka iwe approved nilipo post for the first time na sio kama unavowaza kuwa nilisubiri iwe approved. Nilikaa nayo bila kua aproved for long timeSasa si uliacha kuingia humu hiyo tarehe 11 na ID hiyo(Wizy) baada ya hii ID kuwa approved na Mods?
Kumbuka ukijiunga utasubiri kwanza hadi Mods waiapprove ndani ya
The return of mzee wa flash, ngoja tuone atashusha placements ngapi kabla mwaka haujapinduka.Kuna placements ya MNJUAT....mkaangalie majina yenu mliofanya usahili huo.
Huenda kijana alikandwa ndio maana aliamua kukaa kimya. Ukizingatia alikua na expectations kubwa sana na nafasi ile so huenda disappointment ilikua kubwa.Halafu naona utakuwa unacheka sana jinsi unavyotujibu hivi.
Sisi tushahitimisha mkuu, wala hatukuingilii wewe maamuzi yako japo wengi humu walikuwa na shauku ya kuleta mrejesho wa placement kama ulipata au la maana tulikuwa tayari kupokea habari yoyote ile maana lazima ingekuja habari ya aina moja kati ya aina 2 ambazo zingeweza kutokea.
Kama ungepata tungefurahia wote na pongezi nyingi kama tunavyofanya kwa wengine (Ahmet meck pro Cvez n.k)
Pia kama ungekosa tungetiana moyo kama kawaida yetu, Ahmet alikosa Muhas, Muce alikuja hapa tukamtia moyo, tulimwambia atapata IAE, wewe ulikuwa kinara wa kumwambia hivyo na kweli alikuja kupata.
So pongezi zetu na hamasa zetu za kutia moyo ukaamua uzikimbie, tulikutafuta kwa udi na uvumba mwisho wa siku tukaamua kukubaliana na hali na life likasonga mbele.
Kwamba ukipost ndio wana approve?Id yangu ina siku ya 3 toka iwe approved nilipo post for the first time na sio kama unavowaza kuwa nilisubiri iwe approved. Nilikaa nayo bila kua aproved for long time
Siombi tena kazi naombeni mnielekeze namna ya kufuta account yangu ya ajira portal wapuuzi hawaSasa mkandwaji mwenyewe unacheka,, nikicheka na Mimi si nitaonekana Nakucheka mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hivyo haikuwa mara yake ya kwanza kukandwa, alikuwa mzoefu.Huenda kijana alikandwa ndio maana aliamua kukaa kimya. Ukizingatia alikua na expectations kubwa sana na nafasi ile so huenda disappointment ilikua kubwa.
Ila Wizy alikua na utoto mwingi sana [emoji23][emoji23][emoji23] namkumbuka sana kijana wangu katika issue serious analeta utani.
Wapo waliokuwa wanasema hivi ila wakaja kujaribu tena, tena kwenye taasisi zingine na wakapata.Siombi tena kazi naombeni mnielekeze namna ya kufuta account yangu ya ajira portal wapuuzi hawa
Hawa saili zao walifanya pale SUA tar 14 mwezi huu.. So naona baada ya wiki mbili watu wanakula shavu..WAHUSIKA WA NDOIGE CHEKINI
Kabisa nimeshakandwa mara 3 utumishe zote nimeishia written. Ile moja niliyofika oral ndio hiyo hiyo nilitoboaWapo waliokuwa wanasema hivi ila wakaja kujaribu tena, tena kwenye taasisi zingine na wakapata.
Mkuu usife moyo bahati ipo ila muda bado haujafika, muda ukifika utafurahi mwenyewe.
Be strong na songa mbele.
Sina bahati naoWapo waliokuwa wanasema hivi ila wakaja kujaribu tena, tena kwenye taasisi zingine na wakapata.
Mkuu usife moyo bahati ipo ila muda bado haujafika, muda ukifika utafurahi mwenyewe.
Be strong na songa mbele.
Placement umekula mwaka huu Au..?Kabisa nimeshakandwa mara 3 utumishe zote nimeishia written. Ile moja niliyofika oral ndio hiyo hiyo nilitoboa