Wkingz
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 487
- 1,220
Kweli uyu jamaa ni hatar kaonganisha adi tarehe za ORCI ambazo sijui zina husiana na nn. Nikaone nifanye research ndogo kumuonesha sio mm.Kaka wewe noma sana huyu ni yeye asilimia 99.9
hii account imetengenezwa trh 10 dec but last seen ya wizy ni trh 11 dec, hii inatosha kusema mm sio yeye, hapa msomi wa cuba kidogo hakuwa sawa kwenye data kasahau taarifa muhimu.