Skywalker00
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 329
- 1,017
Sasa nashangaa yeye kukosa anakimbia kimbia utadhani ndo mwisho wa maisha, utadhani kwamba kazi za serikalini ndio zipo nchini, tumemshusha vyeo.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Manake kwanza ncheke
Me binafsi nilifanya oral mwez3 mwaka huu mpk leo ziiiiii!!!! na june wenzangu waliitwa kazn, na kuna mwingine alikuwa database akaitwa september na ni mwanangu, lkn kiroho safi kbs najua kwa wakati ule haikuwa ridhiki yangu its just normal tu ni suala la muda tu tunajifunza tunasonga mbele wakati ukifika tutacheka sana! Mema yako mbeleee...2023[emoji3]
Tuliingia oral 50 ila mmoja hakuwepo tukawa 49 na nafasi 16,Mlikuwa mnawania nafasi ngapi boss na mlikuwa wangapi Oral
Hapo wengi inaonesha mko database mkuu bila shaka..Tuliingia oral 50 ila mmoja hakuwepo tukawa 49 na nafasi 16,
Ni ww kbsa endelea kujipambaZenu mkuu ata kama sio ww basi wengine, mpaka mm nashangaa coz angekua wa kawaida msinge mpa mtu attention kiasi ichi atakama aliondoka akarud kwa id mpya. haijarish ata kama mnamwona coward kiasi mnavo ni attack mm ndo ukubwa wake pia upo ivo ivo.
Me naona aseme tu ukweli, hatutakuwa na lingine, humu nimeona wengi tu wamekosa na nikiwemo mm mwenyewe kwahiyo ni kawaida muda unakuwa bado,Sasa nashangaa yeye kukosa anakimbia kimbia utadhani ndo mwisho wa maisha, utadhani kwamba kazi za serikalini ndio zipo nchini, tumemshusha vyeo.
Kumbe Mzee ni Mtaalam wa Kilimo..!!Tuliingia oral 50 ila mmoja hakuwepo tukawa 49 na nafasi 16,
Watu wanamuongela sababu tu walikua wanataka feedback ya matokeo yake sababu alikua anashadadia sana status, na kwa maelezo yake, kwake every interview was easy na kila interview anafika oral...sasa watu wakawa curious kujua matokeo yake nothing more.Zenu mkuu ata kama sio ww basi wengine, mpaka mm nashangaa coz angekua wa kawaida msinge mpa mtu attention kiasi ichi atakama aliondoka akarud kwa id mpya. haijarish ata kama mnamwona coward kiasi mnavo ni attack mm ndo ukubwa wake pia upo ivo ivo.
Wengi sana mkuu maana walichukua 16 tu ileile, nadhani kuna mmoja alipata TRA, ko hakwenda ndio akapigiwa simu mwingine mmoja wetu akaenda kucover....Tunaishi kwa imani mkuu the day is coming soonHapo wengi inaonesha mko database mkuu bila shaka..
Naomba wakuu kwa issue ya wizy tuwe na positive mindset. Hatujui ni yapi yaliyomsibu hadi akapotea hewani. Msisahau sisi ni wanadamu na tunapitia challenges nyingi sana. Unaweza kuta anaumwa seriously na hatujui!Alikonga roho ya nani mzee, akati watu wanamshangaa wanamuona a coward, ameshindwa/umeshindiwa kuhimili failure.
Yes kk, automatic from sua,,, lkn ss hatujakipiga deep sana its just courses kadhaa kwahiyo kwangu mm ni relevent proffesional, so utumishi wakijilengesha kutugusa tunaomba kwasababu wametuhitaji pia,Kumbe Mzee ni Mtaalam wa Kilimo..!!
We utakuwa Mzee wa AEA😁😁Yes kk, automatic from sua,,, lkn ss hatujakipiga deep sana its just courses kadhaa kwahiyo kwangu mm ni relevent proffesional, so utumishi wakijilengesha kutugusa tunaomba kwasababu wametuhitaji pia,
BigNationWe utakuwa Mzee wa AEA[emoji16][emoji16]
Challenges zilikuja hapo hapo baada ya placement kutoka? Yani 1 hour kabla ya pdf alikua online ile siku na still alikuja tena online...hata ka text kamoja ka feedback ashindwe??Naomba wakuu kwa issue ya wizy tuwe na positive mindset. Hatujui ni yapi yaliyomsibu hadi akapotea hewani. Msisahau sisi ni wanadamu na tunapitia challenges nyingi sana. Unaweza kuta anaumwa seriously na hatujui!
Kwa jinsi wizy alivyokuwa kuwa mpambanaji sidhani kama issue ya kutoonekana kwenye placements ndio kumfanye aukimbie uzi huu
Na ndo nacho kisema mm pia, watu walimpa attention kubwa kiasi cha kuwa karibu wote humu walikua wanasubir feedback kutoka kwake ni watu wachache sana kwenye ii dunia wanaweza fanya asilimia kubwa ya watu waweke attention kwao, asili ya binadamu anapokikosa kitu alichokiwekea attention kubwa huwa anaenda tafuta kitu kinachofanana na kile ki kidhi haja yake, na hapo ndo mkani tupia mm huu mzigo wa dhambi. Ila kijana kama hakupata shida akakimbia from nowhere alizingua sanaa sio kwa kuni attack huku.Watu wanamuongela sababu tu walikua wanataka feedback ya matokeo yake sababu alikua anashadadia sana status, na kwa maelezo yake, kwake every interview was easy na kila interview anafika oral...sasa watu wakawa curious kujua matokeo yake nothing more.
Kurudi kwa ID mpya ndio kaharibu zaidi, tulikuwa tushampotezea
Ki ukweli ningekua og wizy halafu hii scenario ipo ivo yani nimekimbia afu nimerudi. Wanavo ni attack hiv nisinge himili, ila hainisumbui coz ukweli ni kua mm sio yeye.
Sio kama watu wana attention sana kwake, watu wanataka feedback kwake kama amepita ile wapewe hints na wao waweze kutoboa na kingine generally humu watu wanatakaga feedbacks sababu inawapa relief kua inawezekana, waongeze juhudi kupambana na wao watoboe.Na ndo nacho kisema mm pia, watu walimpa attention kubwa kiasi cha kuwa karibu wote humu walikua wanasubir feedback kutoka kwake ni watu wachache sana kwenye ii dunia wanaweza fanya asilimia kubwa ya watu waweke attention kwao, asili ya binadamu anapokikosa kitu alichokiwekea attention kubwa huwa anaenda tafuta kitu kinachofanana na kile ki kidhi haja yake, na hapo ndo mkani tupia mm huu mzigo wa dhambi. Ila kijana kama hakupata shida akakimbia from nowhere alizingua sanaa sio kwa kuni attack huku.
Hata kama hupend jaman rud tuchangamshe genge mpenzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku zote hatupendagi kupata taarifa mbaya lakini ukweli upo wazi
Watu kusubiria feedback kutoka kwake io io ndo attention kaka.Sio kama watu wana attention sana kwake, watu wanataka feedback kwake kama amepita ile wapewe hints na wao waweze kutoboa na kingine generally humu watu wanatakaga feedbacks sababu inawapa relief kua inawezekana, waongeze juhudi kupambana na wao watoboe.
So mzee wizy kama unaona tunakupa sana attention sijui tunakufagilia umebugi, nobody gives a shit.Na ndo nacho kisema mm pia, watu walimpa attention kubwa kiasi cha kuwa karibu wote humu walikua wanasubir feedback kutoka kwake ni watu wachache sana kwenye ii dunia wanaweza fanya asilimia kubwa ya watu waweke attention kwao, asili ya binadamu anapokikosa kitu alichokiwekea attention kubwa huwa anaenda tafuta kitu kinachofanana na kile ki kidhi haja yake, na hapo ndo mkani tupia mm huu mzigo wa dhambi. Ila kijana kama hakupata shida akakimbia from nowhere alizingua sanaa sio kwa kuni attack huku.