Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera sana physiotherapist mtorela[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa natumai nawewe nitakuona ona kwenye jukwaa la mahusiano kule[emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]mwana wa JOSEPH safi sana. Naamini tukishapata kazi wote humu kila sehemu (taasisi) tukiwa tunataka huduma kuna watu (ma x-jobless) wenzetu wapo. Mfano kwasasa tunao taasisi hizi veta , IAE( Taasisi ya Elimu watu wazima), muhimbili, OCEAN ROAD japo kabadili ID, taasisi tunazosubiri ni HESLB, TRA, NAOT n.k
 
Watu mko vizuri mshachungulia pdf tayari kama mimi😂😂
 
Wasije wakbadili ID tu😂😂
 

Anza mazoezi mapema ya kutengeneza mwili kwa ajili ya kuvalia suti utakapokuwa unakwenda ofisini kwako TRA.

HAPO UMETOBOA KAKA.
 
Acha tu kaka, ubinadamu mgumu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…