Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Yaaan we acha tu, yaani kila placement me lazma niicheki, dahUpo kama mimi, sasa kama ya Muhas hainihusu na wala simjui mtu ila nasoma majina yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa nimegundua kitu kuhusu hii status kwenye web lakini, ukiona inaanza selected for oral inteviw no. Then inakuja shortlisted plane, kisha ikarudi selected for oral umeula hapo as if alivyoelezea mkuu na ni mtu wa tatu huyu namsikia kwa style hiyo.Upo kama mimi, sasa kama ya Muhas hainihusu na wala simjui mtu ila nasoma majina yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa Kuna baadhi ni rahisi kugundua majina yetu kwenye pdf
Hakika wote humu tutalamba asali ni swala la mda.Kuhusu kuwakanda utumishi ila wako vizuri bila janjajanja bila rushwa nimepita huu uzi upae huu mawinguni Wizy na mwifa mungu awapambanie oral moja tu nimewakanda ila huu uzi nilianza kufuatilia muda sana nikaw najifunza jinsi ya kukanda na kukandwa ntawapa uzoefu ilivyokua
Hongera sana kiongozi enjoy ur day.Asante kesho ntatoa mrejesho humu
Mhhhh hata Mimi naanza kupata mashaka🤣🤣🤣Hakika wote humu tutalamba asali ni swala la mda.
🤣🤣🤣 status hazina umuhimu, lakini kama huna ""selected for null"" mungu asimame nawe.
Na usipate mashaka, nimesoma sana comment za wizy na nimepata kitu, mm pia ni muumini wa status.Mhhhh hata Mimi naanza kupata mashaka🤣🤣🤣
ivi baada ya kufanya oral status huwa inachukua muda gani kubadilika kutoka selected for oral kuwa shortlisted kwa zile saili zenye practical ?Hapa nimegundua kitu kuhusu hii status kwenye web lakini, ukiona inaanza selected for oral inteviw no. Then inakuja shortlisted plane, kisha ikarudi selected for oral umeula hapo as if alivyoelezea mkuu na ni mtu wa tatu huyu namsikia kwa style hiyo.
Nadhani mashahidi mpo humu jazieni nyama wenye kazi zenu. Sijajua usaili unaojumuisha practicals....
Inaweza isibadilike kabisa na ukalamba asali, usijistress na statusivi baada ya kufanya oral status huwa inachukua muda gani kubadilika kutoka selected for oral kuwa shortlisted kwa zile saili zenye practical ?
Me nmekupenda we kaka, hauna reactions za karibu kama kaka angu MwifwaNa usipate mashaka, nimesoma sana comment za wizy na nimepata kitu, mm pia ni muumini wa status.
Mhhhh Aya bhana, ila wizy alikuwa hawezi kujizuia na kuongelea status Kama weweNa usipate mashaka, nimesoma sana comment za wizy na nimepata kitu, mm pia ni muumini wa status.
Kwa ushahidi wa waliopata kz hzibadiliki...inabaki selected for oral...ivi baada ya kufanya oral status huwa inachukua muda gani kubadilika kutoka selected for oral kuwa shortlisted kwa zile saili zenye practical ?
Yaaan ndo nachanganyikiwa.Me nmekupenda we kaka, hauna reactions za karibu kama kaka angu Mwifwa
Kanuni zinamtaka Mwajiri kuwasilisha taarifa za aliyeripoti kazini ndani ya siku 30 tangu alipopangiwa kituo cha kazi. Naona uzembe ni PSRS kutofuatilia hili hatimaye wanajikuta wanaendelea kuita watu kazini hata kama washaitwa miezi kadhaa iliyopitaNadhani shida inakuja pale baadhi ya taasisi wanapofanya mchakato wa ajira wenyewe.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Upo kama mimi, sasa kama ya Muhas hainihusu na wala simjui mtu ila nasoma majina yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo suala alilitekeleza vipi, tulitoa ushauri hapa, hujatupa mrejeshoHii situation ndo ilimtokea yule ndugu wangu wa NARCO niliileta humu kipindi flani.
Jina la mtu lilitokea kwenye pdf nafasi ya NARCO (alitokea database) pia likatokea TRA (Nahisi alifanya interview), hivyo huyo mtu akaenda TRA, utumishi wakamreplace huyo mtu na ndugu yangu (from database)
Sasa kilichotokea ni kwamba, ndugu yangu hakuona tena jina lake kwenye PDF wala hawakumpigia simu ila walituma barua moja kwa moja kwenye S.L.P la ndugu yetu mwingine wa mbali (Tunajaza hizi anuwani kukamilisha ratiba)
Barua ya April amekuja kuiona December (Too late)
Anajiandaa kwenda kwa mwajili, nitaleta mrejesho inshallahHilo suala alilitekeleza vipi, tulitoa ushauri hapa, hujatupa mrejesho
Hahahaa, nipo tu hapa viunga vya pembezoni mwa mji/jiji along Moro road, siku ya kwenda kuanza kazi ebu upitie pale K/koo kwa Da Maryjuan ukachukue hata shati simple la kwenda kuanzia kaziSema ipo siku nitakutafuta bro, you have won our hearts