Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hongera sana broo! Bimafsi

Hongera sana broo! Binafsi nafurahi kuona shuhuda hizi....
Ahsante sana mkuu, Mungu ni mwema sana
how do you feel now?
Hii furaha haina kipimo kabisa, ni ndoto ya kila mmoja wetu kufurahi humu, hakika haielezeki.

Wenzangu hawakulala kwa furaha naona na mimi naelekea kufuata nyayo zao[emoji3][emoji3]
 
Ahsante sana mkuu, Mungu ni mwema sana
Hii furaha haina kipimo kabisa, ni ndoto ya kila mmoja wetu kufurahi humu, hakika haielezeki.

Wenzangu hawakulala kwa furaha naona na mimi naelekea kufuata nyayo zao[emoji3][emoji3]
Unakila sababu ya kufurahi wakati wa mungu ndiyo wakati sahihi
 
Ahsante sana mkuu kwa Dua.
Mungu ni mwema wakati wote.
Mapambano yaendelee, hamna kukata tamaa.

Mimi humu siondoki hata nikija kubanwa na shughuli za mrija, sitakosa muda wa kuja kuchungulia humu hata dk 10
 
KATIKA SIKU AMBAZO NIMEKUWA NA FURAHA KUBWA NI KUONA KAKA YANGU Mwifwa UMETIMIZI KAZI ULIYOIANZA SALAMA NA KUFANIKIWA KUPATA NAFASI.

Nimejifunza mengi kupitia wewe na Nimeamini vingi kupitia wewe, ujitoaji wako, uthubutu, wema wako na ukarimu hakika haujakutupa.

Mungu aendelee kutusaidia na sisi tuingie kwenye mrija ili tuungane wote kwenye tabasamu murua la utumishi wa umma.

Ukitenda wema na kujitoa kwa watu, hakika Mungu anakutoa like bora zaidi. [emoji3590]🫂[emoji120].
 
Nasubiri ushuhuda wa status ya mwifwa kwenye web[emoji3]
Hahahaaa, nilikuwa nasubiri hiki kitu nimniulize.

Nilikuwa muumini wa kutoangalia status tangu nifanye oral na hadi sasa ninapoandika hapa, sijaangalia wala kufungua web ya PSRS maana PDF nimetuniwa na wa karibu yangu kupitia WhatsApp na vigelegele kuanza moja kwa moja.

Nahisi hata nikiangalia kwa sasa na kuwapa mrejesho, mrejesho utakuwa ni kile nitakachokiona kwa sasa na yale mabadiliko siyajui maana sikuangalianga tangu nifanye oral.
 
Kaka, ninafuraha kwa ajili yako. Hongera sana na tunakutakia kila la kheri kwenye Utumishi.
Mkuu sina cha kuwalipeni isipokuwa ni Muumba pekee atawalipa kwa wema mliokuwa nao tangu mwanzo.

Wewe na wizy ni miongoni mwa watu mlionikalisha chini na kunikanda kwa nasaha kuhusu huu mrija wa NAOT maana nilikuwa nimeukatia tamaa. Hakika mlifanya kazi kubwa pamoja na wengine.

Tuendelee kuombeana, kutiana moyo, matumaini hadi kila mmoja wetu aweze kutimiza ndoto zake za mrija wa Asali
 
NAOT sijapata, ni vile tu nlishaga kuwa standby kuwa siwezi kupata so I feel kawaida. Sio kwa maswahibu nlokutana nayo hope niliezea humu. I believe in God, ni mipango ake tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]. Sema am so happy for u sana[emoji1431]
Usijali sana Dada, nafasi yako ipo ina njia ya kuipata ndio huenda bado hujaimaliza, ukiimaliza utaipata.

Tuendelee kuombena na kupambana zaidi
 
Ahsante sana mkuu, Mungu ni mwema sana.

Mapambano yaendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…