Wkingz
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 487
- 1,220
Kitu ambacho huwa na wish kuwa mngejua ukweli mm sio wizy. okay may b siku mungu akiaamua ataleta uthibitisho ku prove ilo. Kwa sasa lipo nje ya uwezo wangu.Ahsante sana legend himself
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu ambacho huwa na wish kuwa mngejua ukweli mm sio wizy. okay may b siku mungu akiaamua ataleta uthibitisho ku prove ilo. Kwa sasa lipo nje ya uwezo wangu.Ahsante sana legend himself
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyu mwambaa hakika anastahili, sijui kama atalala siku 3 hizi, lbda akishika barua ya ajira [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu tunafurah sana humu kwenye uzii coz umegusaaa maishaa ya wengi humu na wwngine usio wajua kwa mara nyingine tenaaaa hongeraaaa sanaaa kaka.
Ahsante sana mkuu, Mungu ni mwema sanaHongera sana broo! Bimafsi
Hongera sana broo! Binafsi nafurahi kuona shuhuda hizi....
Hii furaha haina kipimo kabisa, ni ndoto ya kila mmoja wetu kufurahi humu, hakika haielezeki.how do you feel now?
Ahsante sana Dada, wewe vipi kwa upande wakoCongratulations kaka, am so happy happy for you. Mungu ni mwema sana[emoji1431]
Unakila sababu ya kufurahi wakati wa mungu ndiyo wakati sahihiAhsante sana mkuu, Mungu ni mwema sana
Hii furaha haina kipimo kabisa, ni ndoto ya kila mmoja wetu kufurahi humu, hakika haielezeki.
Wenzangu hawakulala kwa furaha naona na mimi naelekea kufuata nyayo zao[emoji3][emoji3]
Amina kaka naimani na namatumaini Leo yetu ndio utengeneza kesho yetu nzuri. Mungu atusaidie wote tufanikiwe, furaha yetu ni kuona wale watu wote wanaotuzunguka pia wanafanikiwa l. Amen [emoji120]Nikiona mtu kapata kazi huwa nafurahi naamin na mm soon tu naingia, tuwe na imani ndugu zangu tutafanikiwa...
Ahsante sana mkuu kwa Dua.Dah kaka acha tu nifunguke ki ukweli sikuji wala hunijui zaidi ya sisi sote kukutana kwa comment za Jf tu
Lakini ukweli ni kwamba sijawahi acha kukuombea kwa Mungu upate mafanikio katika vita hii tangu nilipo anza kuziona comment zako humu
Zimetupa nguvu wengi sana hasa mimi
Amini hapa nilipo ninafuraha sana kuona kua nawe upo kwenye kundi la walio chaguliwa kujiunga na utumishi
Nakuomba sana kaka usitukimbie humu Jf wala hili jukwaa uwepo wako ni muhimu kuliko unavyo fikiria. Ni mtu unaetoa hoja kwa evidence kiasi kwamba ilikuwa rahisi kueleweka katika majibu yako
Mara nyingi mimi humu ni msoma comment tu ila kila siku huwa lazima niingie nipate darasa huru lenye manufaa na faida.
Naomba kawe mtumishi mwema kama ulivyo onesha wema wako humu.
Mwisho. Nawatakia kheri nyote mlio fanikiwa hili na kazi njema huko muendako.
Ahsante sana, ila nasikitika tumeendelea kupishana sana[emoji3][emoji3], nilizani tutakutanishwa na hawa wakandaji hatimaye naona haitowezekanaWaouh hongera sana mshikaji wangu,hakika wakati wa mungu niwakati sahihi
Ahsante sana mkuuhatimaye mkuu umetoboa hongera sana
KATIKA SIKU AMBAZO NIMEKUWA NA FURAHA KUBWA NI KUONA KAKA YANGU Mwifwa UMETIMIZI KAZI ULIYOIANZA SALAMA NA KUFANIKIWA KUPATA NAFASI.Finally I made it!
Kutana na Mwifwa- From three times defeat to Champion
Hii ndio ilikuwa safari yangu ya kusaka mrija wa Asali.
Mwaka 2021, safari hii ilishika kasi kwa kuapply mara 8( Sekta binafsi, Wizarani na Tamisemi). Kote niliangukia pua, Sekta binafsi sikubahatika hata kuitwa kwa usahili.
Mwaka 2022, kasi ikaendelea kushika kasi nilipoapply Wizarani na Tamisemi kabla ya kutimkia PSRS, mara hii niliangukia pua pia Wizarani na Tamisemi.
PSRS nilifanya application 5, 4 nikawa shortlisted, moja sikuwa shortlist kwa sababu isiyokuwa ya msingi maana hiyo sababu wangeizingatia nisingekuwa shortlist zile zingine 4.
Kwenye shortlist 4, tatu nikakandwa mfululizo hadi nikakata tamaa, ila wadau wa humu wakanipa moyo na nikapata nguvu ya kwenda kupambana.
Baada ya kwenda kwenye battle nikaingia oral kimasihara. The rest is history, what a joyful in my life history, my eyes are filled with joyful tears.
Join me in celebrating this remarkable history!!
Hahahaaa, nilikuwa nasubiri hiki kitu nimniulize.Nasubiri ushuhuda wa status ya mwifwa kwenye web[emoji3]
Mkuu sina cha kuwalipeni isipokuwa ni Muumba pekee atawalipa kwa wema mliokuwa nao tangu mwanzo.Kaka, ninafuraha kwa ajili yako. Hongera sana na tunakutakia kila la kheri kwenye Utumishi.
Hongera sasa jombaaa mungu kukupa mrija wa asali tena asali kweli maana naot sio mchezo. Kada yenu post ilikua moja ila wameita zaidi ya mojaSasa ndio nimejua kwa nini akina Ahmet meck pro baraka amos Cvez walikuwa na furaha na hawakupata usingizi
Tayari mkuu, placement yangu pekee niliyofika oral ndio imenipa furaha hiiKwahyo mwifwa umepata placement..?
Ahsante sana mkuuBro hongera sanaa
Usijali sana Dada, nafasi yako ipo ina njia ya kuipata ndio huenda bado hujaimaliza, ukiimaliza utaipata.NAOT sijapata, ni vile tu nlishaga kuwa standby kuwa siwezi kupata so I feel kawaida. Sio kwa maswahibu nlokutana nayo hope niliezea humu. I believe in God, ni mipango ake tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]. Sema am so happy for u sana[emoji1431]
Ahsante sana mkuuHongera sana Mwifwa
Kwa kweli Hatimaye Placement Nilio isubiri imefika itoshe tu kusema utumishi nimewanyooshaUsijali sana Dada, nafasi yako ipo ina njia ya kuipata ndio huenda bado hujaimaliza, ukiimaliza utaipata.
Tuendelee kuombena na kupambana zaidi
Hongera sana mkuuTayari mkuu, placement yangu pekee niliyofika oral ndio imenipa furaha hii
Ahsante sana mkuu, Mungu ni mwema sana.Niilikuwa nimeshaanza pitiwa na usingizi nimeshtuka naingia nakuta shangwe za Mwafwa Daah usingizi umesha nimefurahi mno yani hongera sana ni kati ya wadau ambao hamtasahaulika katika uzi huu nakuombea mno kijana mungu akutangulie nasisi tupo njiani tunakuja kuchukuwa barua suti zinamalizikia kukauka,,,,nashindwa hata niandike nini ila nimefurahi mno