Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Duh pole sana I feel you, usikate tamaa
 
Nimekaa kumbe nina interview LGA's na MDA mpaka wadau wakanisanua.
 
Form IV leaver aijue wapi Bills of Quantitaties, wenye degree tu wengi wao hawaijui....jamaa itakua ndo profession yake kama si engineer.
Hongera Kwa jibu zuri.Mie ni CPA(T) mwenye uzoefu wa kazi za auditing mbalimbali .Hata nyie wakati wenu ukifika inabidi ujiongeze kujua mambo mengi kadri itakavyowezekana kutegemea na industry utakapokuwa placed Wengine,tupo hapa JF kujaribu ku-moderate discussion na kuwa-inspire vijana kupambana
 
Mkuu, mimi pia niko kwenye system teyari.
 
Mkuu, mimi pia niko kwenye system teyari.
Ok Vizuri,ndo maana hata Advocates aliyesomea Laws inabidi kufanya research kabla ya kum-cross examine shahidi ambaye ana taaluma ambayo Advocates hakuisomea such as Engineering,Accounting etc.My point ,Mungu ni Mwema vijana humu watapata ajira lkn wakishaingia kazini wasibweteke Bali waongeze maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…