Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Amina naomba sana iwe hivyo, maana ujobless unachosha kisha wanangu Wameitwa job. It's matter of time. Our time is coming...Huenda upo kwenye database mkuu. Mrija wa Asali unanukia hapo
Hao waliitwa tangu July kk ule mkeka uliotokaga JulyNdugu ao ambao washaitwa job ni nafasi zipi izo ili namimi nijue kama nishakandwa au bado maana nasubiria mkeka wa psrs
Daaah hao jamaa wanaenda kula asali aisehNaona kada za bunge wameshalamba asali haina kuchelewa hyo
Tuendelee kuombeana mkuu, imebaki mkeka wa NAOT ila nimeukatia tamaa hata kama wataniita kwenye written ingawa sioni kama nitaitwa.
Hizi zilizonikanda ndio niliona ni rahisi ila ikawa kinyume chake.
Sasa akili naihamisha kwenye mishe zingine, haya ya PSRS yamepita.
Wote mliofika oral Muumba akawe upande wenu
Mods piga ban watu kama hawa wanaoharibu nyuzi za watu.Hisense smart 4k inch 55 iko creen inafaa kwa matumizii ya kuonesha banda la mpira au pia nyumbn beii million 1.1 ni check tumalizane location mbagara kijichi 0685 809 502View attachment 2368419
Watu wana stress za kukandwa wengine tangu june hawajui watapata kazi au vipi analeta vitu out kabisa na lengoMods piga ban watu kama hawa wanaoharibu nyuzi za watu.
Kabisa maana hapa mikeka yenyewe iko ziiiiiii [emoji3][emoji3][emoji3]Watu wana stress za kukandwa wengine tangu june hawajui watapata kazi au vipi analeta vitu out kabisa na lengo
Hahahahaaa, ina maana hatari tupu yaani ushakandwa na kukandika ipasavyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema ile red color inaumiza sana
Kweli mkuu, jobless tukipiga tusije tukasahauliana kwenye majambo madogo kama haya, hata kumtoa mtu maji ya kandoro isiwe kikwazo bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]apate tu atugaie hata vocha
Ofisi ya ukaguzi ya CAG naona ni sensitive kidogo.Japo sifa walitaka wenye shahada 1 lakini nina imani wanaweza wakachukua watu wenye uzoefu mzito kidogo ingawa wakiita random kama sasa, fresh from school lazima waiendeshe show ya written.Huoni kama utaitwa, kwanini..?
ujobless unachosha kisha wanangu Wameitwa job.
Nafasi zikitoka tena nitarudi ulingoni ingawa nafasi yangu ni rare sana kutoka kama nafasi zingine. Sasa kwa kipindi hiki ambapo hazipo ngoja nivute pumzi na kujitathmini kwanza.Mkuu, kukata tamaa ni kujisaliti. Rudi tena ulingoni, siku yako ikifika hizi zote zitabaki ni stori tu.
Huwa naamini kila mtu na bahati yake wakati ukifika tu hautaaminiAisee, kuna watu wana nyota sana, ukifikiria unashindwa kujua kikwazo kinachokusibu nini..
Mimi kama wana wameingia kwenye mirija kilaini sana.
Kuna mwamba tulipomaliza mafunzo kwa Vitendo kabla tunasubiri makibu ya pepa la leseni, tayari kapata kazi ya Tutor kwenye college fulani inayotoa kozi ngazi za certificate hadi Diploma.
Majibu yalipokuja akawa amefaulu akapata leseni kiulaini, hapo kaacha halaiki wana viporo vya kuclear sup ili wakidhi vigezo vya kupata leseni.
Zilipokuja kazi za Tamisemi, akaapply na akapata. Halaiki wengine wanaopiga miayo kitaa/kwenye vijiwe nao waliaapply ila wakakosa. Hapo sasa ule usemi wa MWENYE NACHO HUONGEZEWA tukaukumbuka.
Sasa wengine wenye nyota za kukandwa, kila tukijaribu tunakandwa tena kila sehemu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Daah hizi cjui itakuajeOfisi ya ukaguzi ya CAG naona ni sensitive kidogo.Japo sifa walitaka wenye shahada 1 lakini nina imani wanaweza wakachukua watu wenye uzoefu mzito kidogo ingawa wakiita random kama sasa, fresh from school lazima waiendeshe show ya written.
Sasa wakifanya shortlist bila kuzingatia sana kigezo cha uzoefu basi naweza kuitwa
Our time is coming soon...Kweli mkuu, jobless tukipiga tusije tukasahauliana kwenye majambo madogo kama haya, hata kumtoa mtu maji ya kandoro isiwe kikwazo bana
Nafasi zikitoka tena nitarudi ulingoni ingawa nafasi yangu ni rare sana kutoka kama nafasi zingine. Sasa kwa kipindi hiki ambapo hazipo ngoja nivute pumzi na kujitathmini kwanza.
Mwaka jana kuna demu jirani alikua fresh from school alipata,sasa hivi yuko Lushoto.Ofisi ya ukaguzi ya CAG naona ni sensitive kidogo.Japo sifa walitaka wenye shahada 1 lakini nina imani wanaweza wakachukua watu wenye uzoefu mzito kidogo ingawa wakiita random kama sasa, fresh from school lazima waiendeshe show ya written.
Sasa wakifanya shortlist bila kuzingatia sana kigezo cha uzoefu basi naweza kuitwa
Pole sana mlumbi wa kukandwa,kwenye maisha hatutakiwi kukata tamaa,usichoke kujaribu kaka.Tuendelee kuombeana mkuu, imebaki mkeka wa NAOT ila nimeukatia tamaa hata kama wataniita kwenye written ingawa sioni kama nitaitwa.
Hizi zilizonikanda ndio niliona ni rahisi ila ikawa kinyume chake.
Sasa akili naihamisha kwenye mishe zingine, haya ya PSRS yamepita.
Wote mliofika oral Muumba akawe upande wenu
Balaa ni kwamba, Kuna Wana na wenyewe washa maliza kozi kama zetu, wanaingia kutafuta ajria.So idadi inaongezeka Wakati wanaopata ni kidogo mno....Mkuu never give up, kaziiendelee mpk tufike it's matter of time, hii ni Vita km Vita zingine zamu kwa zamu naamini zamu yetu inakuja kaziiendelee tunajifunza daily na kusonga mbele let's keep it up kk,
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app