Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tuendelee kuombeana mkuu, imebaki mkeka wa NAOT ila nimeukatia tamaa hata kama wataniita kwenye written ingawa sioni kama nitaitwa.

Hizi zilizonikanda ndio niliona ni rahisi ila ikawa kinyume chake.

Sasa akili naihamisha kwenye mishe zingine, haya ya PSRS yamepita.

Wote mliofika oral Muumba akawe upande wenu

Mkuu, kukata tamaa ni kujisaliti. Rudi tena ulingoni, siku yako ikifika hizi zote zitabaki ni stori tu.
 
Vijana mnaotafuta kazi msichoke kupambana kutafuta kazi,na pia acheni kulalamika mnapoona mchakato wa kuitwa kwenye Interview au kuitwa kazini umechelewa,nimeona majina ya kuitwa kazini BUNGE ambapo mchakato wa Usaili ulifanyika mwezi uliopita tu,ni vizuri kutumia muda vizuri kujiandaa kwa Usaili KULIKO kutumia muda JF kufungua Nyuzi za kulalamika mchakato wa Usaili au kuitwa kazini kuchelewa,PSRS ni Taasisi inayofanya kazi kwa taratibu na si kwa pressure za JF,vijana mliopata nafasi Bunge na Taasisi nyingine HONGERENI na mkafanye kazi
 
Huoni kama utaitwa, kwanini..?
Ofisi ya ukaguzi ya CAG naona ni sensitive kidogo.Japo sifa walitaka wenye shahada 1 lakini nina imani wanaweza wakachukua watu wenye uzoefu mzito kidogo ingawa wakiita random kama sasa, fresh from school lazima waiendeshe show ya written.

Sasa wakifanya shortlist bila kuzingatia sana kigezo cha uzoefu basi naweza kuitwa
 
ujobless unachosha kisha wanangu Wameitwa job.

Aisee, kuna watu wana nyota sana, ukifikiria unashindwa kujua kikwazo kinachokusibu nini..

Mimi kuna wana wameingia kwenye mirija kilaini sana.

Kuna mwamba tulipomaliza mafunzo kwa Vitendo kabla tunasubiri majibu ya pepa la leseni, tayari kapata kazi ya Tutor kwenye college fulani inayotoa kozi ngazi za certificate hadi Diploma.

Majibu yalipokuja akawa amefaulu akapata leseni kiulaini, hapo kaacha halaiki wana viporo vya kuclear sup ili wakidhi vigezo vya kupata leseni.

Zilipokuja kazi za Tamisemi, akaapply na akapata. Halaiki wengine wanaopiga miayo kitaa/kwenye vijiwe nao waliaapply ila wakakosa. Hapo sasa ule usemi wa MWENYE NACHO HUONGEZEWA tukaukumbuka.

Sasa wengine wenye nyota za kukandwa, kila tukijaribu tunakandwa tena kila sehemu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu, kukata tamaa ni kujisaliti. Rudi tena ulingoni, siku yako ikifika hizi zote zitabaki ni stori tu.
Nafasi zikitoka tena nitarudi ulingoni ingawa nafasi yangu ni rare sana kutoka kama nafasi zingine. Sasa kwa kipindi hiki ambapo hazipo ngoja nivute pumzi na kujitathmini kwanza.
 
Aisee, kuna watu wana nyota sana, ukifikiria unashindwa kujua kikwazo kinachokusibu nini..

Mimi kama wana wameingia kwenye mirija kilaini sana.

Kuna mwamba tulipomaliza mafunzo kwa Vitendo kabla tunasubiri makibu ya pepa la leseni, tayari kapata kazi ya Tutor kwenye college fulani inayotoa kozi ngazi za certificate hadi Diploma.

Majibu yalipokuja akawa amefaulu akapata leseni kiulaini, hapo kaacha halaiki wana viporo vya kuclear sup ili wakidhi vigezo vya kupata leseni.

Zilipokuja kazi za Tamisemi, akaapply na akapata. Halaiki wengine wanaopiga miayo kitaa/kwenye vijiwe nao waliaapply ila wakakosa. Hapo sasa ule usemi wa MWENYE NACHO HUONGEZEWA tukaukumbuka.

Sasa wengine wenye nyota za kukandwa, kila tukijaribu tunakandwa tena kila sehemu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huwa naamini kila mtu na bahati yake wakati ukifika tu hautaamini
 
Ofisi ya ukaguzi ya CAG naona ni sensitive kidogo.Japo sifa walitaka wenye shahada 1 lakini nina imani wanaweza wakachukua watu wenye uzoefu mzito kidogo ingawa wakiita random kama sasa, fresh from school lazima waiendeshe show ya written.

Sasa wakifanya shortlist bila kuzingatia sana kigezo cha uzoefu basi naweza kuitwa
Daah hizi cjui itakuaje

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Nafasi zikitoka tena nitarudi ulingoni ingawa nafasi yangu ni rare sana kutoka kama nafasi zingine. Sasa kwa kipindi hiki ambapo hazipo ngoja nivute pumzi na kujitathmini kwanza.

Sawa sawa Mkuu, nimekupata. Kila la kheri.
 
Ofisi ya ukaguzi ya CAG naona ni sensitive kidogo.Japo sifa walitaka wenye shahada 1 lakini nina imani wanaweza wakachukua watu wenye uzoefu mzito kidogo ingawa wakiita random kama sasa, fresh from school lazima waiendeshe show ya written.

Sasa wakifanya shortlist bila kuzingatia sana kigezo cha uzoefu basi naweza kuitwa
Mwaka jana kuna demu jirani alikua fresh from school alipata,sasa hivi yuko Lushoto.
 
Tuendelee kuombeana mkuu, imebaki mkeka wa NAOT ila nimeukatia tamaa hata kama wataniita kwenye written ingawa sioni kama nitaitwa.

Hizi zilizonikanda ndio niliona ni rahisi ila ikawa kinyume chake.

Sasa akili naihamisha kwenye mishe zingine, haya ya PSRS yamepita.

Wote mliofika oral Muumba akawe upande wenu
Pole sana mlumbi wa kukandwa,kwenye maisha hatutakiwi kukata tamaa,usichoke kujaribu kaka.
 
Mkuu never give up, kaziiendelee mpk tufike it's matter of time, hii ni Vita km Vita zingine zamu kwa zamu naamini zamu yetu inakuja kaziiendelee tunajifunza daily na kusonga mbele let's keep it up kk,

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Balaa ni kwamba, Kuna Wana na wenyewe washa maliza kozi kama zetu, wanaingia kutafuta ajria.So idadi inaongezeka Wakati wanaopata ni kidogo mno....
 
Back
Top Bottom