Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hili wazo
Sekretarieti ya Ajira tunaomba mlipokee kwa kweli.Pia ingesaidia kupunguza watu kwenda kwenye usaili kwani wanakuwa washapata kazi.Ila hili la kwenda kila usaili Huku Bado hujajua jambo la nyuma,haijakaa sawa kabisa.
 
Kwa ninavyofahamu,ikiwa Mtu unaitwa kwenye usaili wa Taasisi Fulani,Ina maana kwamba kila kitu Kiko tayari.Ndio maana watu wameitwa Usaili,Sasa kuwafanyisha watu usaili na kuchelewa kuwafahamisha kama wameajiriwa au lah ni Nini? Mpaka watu wanakuwa na multiple placement mwishoe mnaanza ku Read-vertise dah.
 
Kuna walioajiriwa moja kwa moja tokea ofisini kwa wakili mkuu. Hawakupitia sekretarieti
 
Ila hizi mambo za Ajira acha tu, tuseme tu kweli kwenda Usaili mara mbilimbili sio kwamba watu wanapenda hata.. Ila tu placements zinachelewa na watu hawajui kipi ni kipi..

Sidhani Kam watu wanaenjoy kuulizwaulizwa maswali kwenye vyumba vya Usaili na kunichoresha sema ndio hvyo tu vijna hawana namna, kwanza inasababisha pressure na joto linapanda mwilini(woga)😁
 
Yn mtu anapat kazi taasisi A haridhiki anaenda kufny usaili tena anapata B hardhiki anaenda tena anapata C wengne wansbria tu mpk jamaa aridhike kweli dunia haiko fair kbsa
Tatizo sio jamaa, tatizo ni PSRS.

Sisi huwa tunafanya sahili mbalimbali kwa sababu huwa hatuna uhakika na usahili mmoja.

Sasa PSRS hawana mtindo wa kumtoa kwenye chance ya kupata nafasi mtu aliyepata nafasi awali.

Pangekuwa na utaratibu wa kuwa, endapo ukipata nafasi kwenye usahili wako wa mwanzo, uweze kutochagulia hata kama umefaulu saili zingine zilizobakia. Hili kama lingekuwepo tusingeona watu majina yao kujirudia kwenye placements mbalimbali
 
Kama ulikua hujui, note hilo. Hata TRA kuna wakati wanachukuaga intern wao pale wanapopewa kibali cha ajira. Nafasi zitatangazwa zote ila baadhi ya watu hawatapangiwa kazi na psrs, bali TRA.
Hii mbona mpya, ila lolote lawezekana, sababu kuna dogo Mzee wake yupo tanesco na yupo kazini na hakuwahi hata kusikia usaili.

Utumishi wametoa muda wa kutoa maoni, kuhusu kanuni tukayawasilishe kwa fair interview..
 
Written interview ya 8 sikuwahi chaguliwa oral , leo imo daah tusikate tamaa ,hata oral nikikandwa najua ipo siku

Duh! Imekuchukua muda gani Mkuu? I mean Hii ni kuanzia mwaka gani umekuwa ukifanya written?


Nawaonea huruma sana ambao wamesoma kozi zisizo na ajira mara kwa mara.

Kuna watu kutokana na nature ya kozi zao wanaenjoy kuwa na interview nyingi mpaka raha.
 
Sure lkn uwenda kadri malalamiko yanapokuwa Meng wanaweza kuja na Mbadala
 
Ni kweli mkuu ishu sio mtu anaefanya usahili ishu ni PSRS maana sio rahisi mtu akishapata mrija wa Asali aanze kuhangaika na Interview hiyo inatokea mtu ana selected for Oral hata nne kwahiyo ishu ni uchelewashwaji wa PLACEMENT mtu hana uhakika kwahiyo lazma afanye interview.
 
Yaani huyo alisharipoti kbsa
Wapo waliopata na bado wanahangaika hawajaridhka na taasisi walizopata
 
Kama ulikua hujui, note hilo. Hata TRA kuna wakati wanachukuaga intern wao pale wanapopewa kibali cha ajira. Nafasi zitatangazwa zote ila baadhi ya watu hawatapangiwa kazi na psrs, bali TRA.
  • Japo bado siamini, Kwa sababu mfumo wa ajira za TRA unapitia PSRS, labda pengine hizo nyingine ni kweli au si kweli
  • Tatizo hizo intern za TRA ni ngumu kupata kwa mtu usiyejulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…