mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Hili wazoHapa PSRS km ingewapendea wangejitahid sn kwny kumbukumbu zao mtu akipata Placement Acc yake Ibadilike na kusiwe na Option tena ya Kuapply kaz yoyote mpk Kwa muda Flan ndy aweze kuapply ili kupunguza nafas anazoacha Wazi baada ya kupata Multiple Placements
Maana unakuta mtu yupo Kanzidata mpk muda wakukaa huko unaisha na nafasi ya kazi haijapatikana Kwa 7b ya hawa wenye placements Zaid ya 2
Sekretarieti ya Ajira tunaomba mlipokee kwa kweli.Pia ingesaidia kupunguza watu kwenda kwenye usaili kwani wanakuwa washapata kazi.Ila hili la kwenda kila usaili Huku Bado hujajua jambo la nyuma,haijakaa sawa kabisa.