MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Mimi ananikumbusha Alivyopataga namba za viatu usaili wa bunge [emoji16]M
MSHIKAJI unaonekana una Hasira sana.. sijawahi ona comment yako yoyote in Normal conditions..
Ni kufoka au kubisha.. Big up sana [emoji16]
Wakisema Mention we Mention tu hayo Mengne hayasaidi Chochote wao wanadeal na walichokuulizaSo unaenda directly kwenye points,nilfkiri unaanza na kudefine what is source documents
Potezea brother...one love manNimekustahi
Bwana Mkubwa Oral haitaki porojo.. Hilo swali linataka kabisa utaje basi inabidi utaje.. na ukiambiwa kueleza basi ujue ni term moja kama definition au difference between what what..So unaenda directly kwenye points,nilfkiri unaanza na kudefine what is source documents
Yaelekea unanijua sana mzee?maana binafsi sijijui kama unavyonijua wewe.Mimi ananikumbusha Alivyopataga namba za viatu usaili wa bunge [emoji16]
Mwamba anapambana sana
Kule Katani hakuna mashine za kuscan, hata printing yenyewe inafanyikia stationery.Hivi kwanini matangazo ya kazi za halimashauri hizi za serikali ya mitaa uwa zinapostiwa kikawaida yani mtu anascan kwa kutumia cm scanner anaitupia kwenye Web ya utumishi tofauti na sehemu zingine inakua coloured pdf imeandaliwa kwa kutulia kabisa?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Amina kakaKila la kheri wapambanaji wote wa mrija wa Asali. Mungu yupo pamoja nanyi.
MKONO KWA MKONO HADI KWEMYE PIPA LA ASALI
Mkoa gani umetupwa mzee?Kila la kheri wapambanaji wote wa mrija wa Asali. Mungu yupo pamoja nanyi.
MKONO KWA MKONO HADI KWEMYE PIPA LA ASALI
Amina kakaKila la kheri wapambanaji wote wa mrija wa Asali. Mungu yupo pamoja nanyi.
MKONO KWA MKONO HADI KWEMYE PIPA LA ASALI
Tupo Dom woteMkoa gani umetupwa mzee?
OkTupo Dom wote
Yaah nadhani BOT ndo waliobaki pekee, Tanroads upande wa ajira za mkataba tu ndo wanaajiri wao kama wao ila kwa nafasi za ajira ya moja kwa moja wako psrsTANESCO wanapitia psrs , taasisi zinazoajiri zenyewe nadhani ni mbili tu ambao ni BOT na Tanroad ,
Treasury square hivi wale jamaa wanajiri kupitia wapi?Tupo Dom wote
Kazi iendelee huku nadhan tutakutana na sisi wasaka mirija [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tupo Dom wote
Yapata siku 20 sasa majibu ya written MDAs na LGAs hayajatolewa na dalili hakuna
Wenzio tumefanya oral tokea Nov 2022 ya MDAs na LGAs na mpaka Leo hakuna majibuYapata siku 20 sasa majibu ya written MDAs na LGAs hayajatolewa na dalili hakuna