makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,392
Sawa mkuu mpka imalizike ni jioni tunasubiriIla Placement huwa zinapostiwaga jioni.. kuweni wapoleee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu mpka imalizike ni jioni tunasubiriIla Placement huwa zinapostiwaga jioni.. kuweni wapoleee
Bado Web nzito,,,,,Hadi muda huu mambo bado bila bila.
Tuendelee kuvuta subira hadi lichowee
Shida kuu ni niniBado Web nzito,,,,,
Hatujui mkuu nini kinawekwa ngoja tusubiri itakuwa down hadi usiku ama vipiShida kuu ni nini
Hello guys. Kwa wakazi wa moshi kuna usafiri private kwa watu wanne interested.
Bei ni Tshs elfu 60 Go and return.
Tutaondoka jumapili tarehe 4/09/2022 saa moja asubuhi.
PACKAGE INCLUDES:
1.Usafiri kutoka Moshi bus stand saa moja asubuhi ya tarehe 20 hadi Dodoma mjini maeneo ya bunge.
2. Usafiri kutoka Dodoma mjini maeneo ya bunge hadi UDOM ukumbi wa CIVE au kumbi jirani saa kumi na mbili asubuhi (ili kuwahi interview).
3. Usafiri kutoka ukumbi wa interview hadi Dodoma mjini maeneo ya bunge tutakapofikia.
4. Usafiri baada ya matokeo kutoka ( approximately tarehe 6 au 7) kwa wale tutakaofaulu kwenda usaili wa mahojiano kutoka tulipofikia kwenda eneo la usaili wa oral(ofisi za bunge) kwenda na kurudi
5. Baada ya interview usafiri hadi Moshi stand. Kuanzia saa moja asubuhi (siku baada ya matokeo au second interview)
✓Other benefits include:
•Kudiscuss kwenye gari kwa pamoja
•Kusimama popote njiani and other benefits of a private travel.
DM if interested.
MALIPO YANAPOKELEWA KWA MKONO MWISHO SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 03/09/2022 SAA SITA MCHANA
Ya mungu mengiHatujui mkuu nini kinawekwa ngoja tusubiri itakuwa down hadi usiku ama vipi
0692437241Weka number
Ilizingua km masaa mawili now imefungua hamna chochoteMbona web inafunguka fresh tuu Mkuu na akuna jipya
Binafsi nimekuwa excited sana kuingia kwenye mrija, muda unazidi kutembea, umri wa utumishi unazidi kukatika.
Kwa hizi Application chache za Utumishi nilizoapply nazifuatilia kwa karibu sana, huku nikiwa na shauku ya kuona mwisho ingawa kiuhalisia najijua ni pagumu sana kutoboa[emoji3][emoji3]
Hivyo nimekuwa mraibu wa kuitembelea website ya PSRS ili kuona kinachojiri.
Tuendelee kumuomba mgawa riziki mkuu.Aisee, ni kweli kwa namna hiyo ni kweli kuna haja ya kupambania nafasi. Safari hii ni lazima utafanikiwa Mkuu, usikate tamaa hata kidogo.
Tuendelee kumuomba mgawa riziki mkuu.
Riziki huwa ipo ila inabidi uipambanie kwa njia tofauti tofauti ili uweze kuifikia/kuichuma.
Kazi na iendeleeKumekucha wapambania mrija.
Subira ya MaPdf na iendelee
Imeniuma Sana Kama ni kweliKuna uzi nimeona unahusu watu kupigiwa simu kama ni kweli basi tushaliwa vichwa 😬😬
Watu washaitwa kazini washapokea msharaha wa pili🤣🤣🤣jamaa hajui Nini kinaendeleaKuna uzi nimeona unahusu watu kupigiwa simu kama ni kweli basi tushaliwa vichwa 😬😬
Kuna uzi nimeona unahusu watu kupigiwa simu kama ni kweli basi tushaliwa vichwa [emoji51][emoji51]
Sijui mkuu kama kuna habari kama hizoWatu washaitwa kazini washapokea msharaha wa pili🤣🤣🤣jamaa hajui Nini kinaendelea