Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wale wasubiria Shortlisted, Tayari PSRS wamelimwaga uno na Wala hawataki utani,,, ni mwendo wa MIKEKA tu Hadi mkimbie wenyewe mseme hamna Nauli..
Wale wa DUCE,,, kitu tayari
Wale wa JKCI.. Taasisi ya moyo hii, kitu tayari
 
Iyo mikeka wameiweka wapi
 
Kwa hizi pdf ninazoziona hapa kwenye tovuti ya PSRS.. basi nachelea Kusema mpaka kuishi saili za hizi Shortlisted watakuwa wametafuna ½ na ⅓ ya kazizote zilizotangazwa Hadi Sasa,
Urgently naona zimebaki taasisi zifuatazo.
USDM,, Lectures & Tutorials and
Technicians
SUA,, Technicians
MDA's & LGA's,, Mkeka wa Taifa
TRA,, Mkeka wa Taifa
WIZARA YA KILIMO,, Mkeka wa Taifa
UDOM,, Lectures & Tutorials.
LITA,TARILI,, Technicians.

Kama nimeacha basi ni Taasisi chache
Na NAOT kijana bado
 
Bado pia wa TANZANIA ATOMIC ENERGY COMMISSION (TAEC)
 
Wakuu majibu mbona bado kimya, wanatupa wakati mgumu aisee.
 
Ibgia kwenye Account yako kijna
Wameanza kuweka?maana kesho kuna interview za oral kama ratiba zinavyosema ila majibu hawajaapdate mpaka sasa.kuna watu wapo dom walitegemea kama majibu yangetoka mchana mida hii wangekuwa safarini makwao lakini ndio hivyo washalipia sehem za kulala tena.
 
Back
Top Bottom