Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

WangetOA TU PLACEMENTs kwa tuliofanya INTERVIEW MWEZI WA wa sita mpaka wA NANE. MAANA SAHIV KUNa hiI mIKEKA MINGINE WENGINE TUMECHAGULIWA PIA.. SASA KAMA MTU labDa ULISHAPATA KWENYE ZILE INTERVIEW ZA MWEZI WA NANE HALAFU IKATOKEA UKAPATA NA HUKUITAKUWAJE? si kuzibia TU WENGINE rizIKi???
 
Na mimi naungana na wewe mkuu kuwatakia kila la kheri.

Mimi tayari nipo ndani ya gari, tayari kwa kuondoka
Tatizo hiz interview hazitabiriki.. kama ya Bunge Ile wamechukuwa kuanzia 50 kupanda juu..
Ila zingine unakuta umepata 58 na umeachwa kulingana na Matokeo husika na idadi inayohitajika kwenda Oral
 
Tatizo hiz interview hazitabiriki.. kama ya Bunge Ile wamechukuwa kuanzia 50 kupanda juu..
Ila zingine unakuta umepata 58 na umeachwa kulingana na Matokeo husika na idadi inayohitajika kwenda Oral
Kweli mkuu, nafasi na matokeo ndio ziaamua wachaguliwe wangapi kwenda oral.

Written yangu wamechukuliwa kuanzia 50 ingawa alama ya kwanza haijafika 70, ila kwenye hii range(50 - 70) ilipata watu wengi
 
Ha ha..Acha uoga mheshimiwa
Mtaanza kunizooma hapa.

Nishagundua, mtu akiwa anatumia JF huwa anakuwa makini sana kuliko akiwa anatumia mitandao mingine.

Jana nilikuwa napata chakula kwenye kagenge fulani maeneo ya Msikiti wa Gaddaf, pale kulikuwa na TV na pia mechi ya Simba na KMC ilikuwa hewani, kuna mtu nilimuona anatumia JF, aliponiona nimempiga jicho akatoka kwenye App ya JF fast.
 
Sijui kwanini ipo hivi?Hata mimi huwa naitumia Jf kwa kificho sanaaaa,sipendi mtu ajue nitumia Jf.
 
Back
Top Bottom