Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Na iwe hivyo kiongozi maana unaeeza kuta tunaendeleza mapambano kumbe kwe placements upo huku ukiziba ridhiki kwa wengine au unaweza kusema kwe placements upo kumbe haupo ukadharau saili nyingine
Haiwezekani wakuite kwenye interview mbili mpk tatu bila kukupa matokeo yako ya mwisho ya interview yako ya kwanza, kwakuwa wameanza kuita tena kwa kasi basi sidhani kama itafika tar 25 mwezi huu hawajatoa placement.
 
Baba lumba unaeeza mfanya mgonjwa alioko ICU akapona hafla kwa maneno ya faraja na kutia moyo 😂😂😂
 
Kama wanasubiri wachanganye na hawa wanaoendelea na usaili itakuwa mwakani na hiyo pdf itakuwa na page 10000
Itakuwa wanasubiri placement ziwe nyingi.. ili habari iwe na mshindo mkubwa.....

Ila wangetoa tu bana, kuna watu wanaweza kuwa washapata halafu bado wapo kwenye hii mikeka ya sasa, ni kama vile wanwazibia rizki wengine.
 
Haiwezekani wakuite kwenye interview mbili mpk tatu bila kukupa matokeo yako ya mwisho ya interview yako ya kwanza, kwakuwa wameanza kuita tena kwa kasi basi sidhani kama itafika tar 25 mwezi huu hawajatoa placement.
Sasa mkuu mbona inawezekana? Mimi mpaka sasa nimepiga oral kama tano hivi ndani ya mwezi mmoja uliopita. Na wiki ijayo nna vikao kama 3 vingine.. kama nimepata nahisi kabisa nazibia wenzangu nafasi... maana usema ukweli kwenye interview zangu huwa sina show mbovu.... 😄😄😄 kwahiyo na hivi vikao vitatu nahisi ntaumiza pia....
 
Sasa mkuu mbona inawezekana? Mimi mpaka sasa nimepiga oral kama tano hivi ndani ya mwezi mmoja uliopita. Na wiki ijayo nna vikao kama 3 vingine.. kama nimepata nahisi kabisa nazibia wenzangu nafasi... maana usema ukweli kwenye interview zangu huwa sina show mbovu.... [emoji1][emoji1][emoji1] kwahiyo na hivi vikao vitatu nahisi ntaumiza pia....
Haiwezekani upate halafu wakuite tena mkuu, na kama wanafanya hvyo basi watuwa na uzembe wa hali ya juu kwa maana watakuwa wanadidimiza uchumi wako na watakuwa hawajui wanachokitafuta, kama umepata kwann wakuite tena Mkuu!?[emoji854]
 
Mbona kuna mtu nimemaliza nae aliitwa mahakamani kazini lakini had now anaitwa kwa usaili alizoombaga kitambo hicho

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hapa huu uzi naomba Modi wau pin kabisa kwenye jukwaa la ajira... baada ya miaka 10 tutakuwa tunapita humu kujikumbusha tulipotoka wagombania asali.... Mwifwa na HS CODE bila shaka mtakuwa mmeota na vitambi kwa kunyonya mirija yenye asali...
Hahahahahaa, Daahh eti vitambi..

Ni kweli ulisemacho, tuendelee kuombeana tufanikiwe kuikamata mirija ya Asali.
 
Sasa mkuu mbona inawezekana? Mimi mpaka sasa nimepiga oral kama tano hivi ndani ya mwezi mmoja uliopita. Na wiki ijayo nna vikao kama 3 vingine.. kama nimepata nahisi kabisa nazibia wenzangu nafasi... maana usema ukweli kwenye interview zangu huwa sina show mbovu.... [emoji1][emoji1][emoji1] kwahiyo na hivi vikao vitatu nahisi ntaumiza pia....
Uko vizuri mkuu, kama ni hivyo hili suala la kuzibia riziki nimeanza kulielewa.

Imagine kila ukiwa selected, yule wa chini ya mstari wa selected umekuwa umemzibia nafasi ya kwenda oral.
 
Back
Top Bottom